Nick Minaj akataa kuchanjwa adai rafiki amepoteza korodani.

Habari mbaya kwa waliokwisha chanja.
Badae utasikia chanjo inafanya penis inasimama masaa 24😂😂😂 hakuna kulala.
 
Ni mwendelezo wa madhara ya autoimmunity, kama ilivyo kwenye kuganda kwa damu kunakosababishwa na kuharibiwa kwa chembe sahani (platelets) na kusababisha tatizo la autoimmune thrombocytopenia.
 
Back
Top Bottom