Nichukue uhamuzi gani wanajamii?

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu nimepatwa na tatizo nilimpeleka mdogo wangu shule hizi zinazoanziwa na majina ya st.(mtakatifu) mwezi wa pili mwanzoni kabisa kwavile alichelewa wakanishauri nilipe special tuition 100000 kwa miezi sita nikalipa nikawaleza tatizo la mtt kuja huku kutoka mkoani ni hali ya hewa dr akashauri aje dar kwa vile kunajoto, wiki yakwanza mtt akasumbuliwa na kichwa akamwambia matroni nahisi nina malaria matroni akamwambia hapana utakuwa na pumu wakabishana sana matroni akamlazimisha kumpa dawa ya pumu baada ya siku 2 hali ikawa mbaya wakanipigia nikaenda kumchukua mtt akanieleza kichotokea nikampima akawa na malaria alivyomaliza dawa ikamrudisha kuwauliza matroni kwann wamemfanyia mtt hivyo ikawa kosa na bifu na mtt na mm pia, baada ya wiki tena mtt akaanguka baada ya kuishiwa nguvu nikapigiwa nikamfata akanieleza walikuwa awataki kumpa dawa na wamemchukia eti anawachongea ukweli lilinipain nikamweleza mkuu wa shule lakini aikusaidia nilipomrudisha mtt siku hiyo hiyo alichofanya alitoroka na watt wa day akarudi om analia ucku nilipomwoji aliniambia kaka mm sirudi tena ile shule nilipomwoji ndio akanieleza yanoyoendelea pale nikachoka ni mengi sana nilichofanya nikamwambia atulie nikawa nasubiria shule wanitaarifu mtt yuko wapi tangu j3 hadi ijumaa kmya j5 nikapiga cm wakaniambia mtt yupo anaendelea vzuri nikakasirika sana ijumaa ndio nikamtafuta mwenye shule mwenyewe nikamtaarifu ndio akawapigia shule ndio wanastuka mtt hayupo shule nilichofanya niliwaambia nataka ada yangu nimtafutie mtt shule naona wananizingua ktk hilo jamani niwafanyaje?
 
Pole sana ndugu yangu, hizi st siku hizi ni uhuni tu.

We mhamishie shule nyingine huyo mdogo wako aendelee na shule kwani kuendelea kulumbana nao na dogo yuko home utapoteza muda.
Haf kwa sababu kule ameshajulikana kuwa mlezi wake anawachonganisha watendaji wa pale, hata ukimrudisha pale hatasoma vizuri watamwendelezea chuki na hatimaye hatafanya vizuri katika masomo yake.
WE muhamishe hafu ukiweza wabane wakurudishie ada yako.

La mwisho kabla hujamuhamishia mtoto shule hizi za st jaribu kufanya utafiti wa kutosha juu ya shule hasa kwa kuangalia matokeo ya mtihani ya taifa na kuulizia watu wanaoifahamu. Kuna shule nyingi sana za kitepeli siku hizi.
Pole sana.
 
MI NADHANI HAPO SIPO COZ MAMBO KAMA NI HAYO naon bora umuombebwana mungu kwa msaada zaidi:spider:
 
MI NADHANI HAPO SIPO COZ MAMBO KAMA NI HAYO naon bora umuombe bwana mungu kwa msaada zaidi:spider:
 
Cheki na Bwana mmoja anaitwa majimoto. Mtumie PM ya hiyo full thread. he is a good guy!
 
Achana nao. Hesabu hasara na umshukuru Mungu kwamba mtoto wako ni mzima.

Ila kama unataka kufungua kesi (ili polisi nao wapate chai) basi unaweza kuwapeleka polisi..Ila hata wewe uwe tayari kuwapa polisi chochote!
 
Mwamishe shule
1. Hata kama ukimwacha wanakuwa na uchungu na mtoto hata kuwa na amani na watu wanaotakiwa kumwangalia
2. Kuna shule nzuri unaweza kupata kwa bei hiyo
3. Kama ni mtoto wa miaka 13-17 inabidi uwe makini kwasababu vilevile huu ni wakati watoto wanaanza viburi kidogo
 
wakuu nimepatwa na tatizo nilimpeleka mdogo wangu shule hizi zinazoanziwa na majina ya st.(mtakatifu) mwezi wa pili mwanzoni kabisa kwavile alichelewa wakanishauri nilipe special tuition 100000 kwa miezi sita nikalipa nikawaleza tatizo la mtt kuja huku kutoka mkoani ni hali ya hewa dr akashauri aje dar kwa vile kunajoto, wiki yakwanza mtt akasumbuliwa na kichwa akamwambia matroni nahisi nina malaria matroni akamwambia hapana utakuwa na pumu wakabishana sana matroni akamlazimisha kumpa dawa ya pumu baada ya siku 2 hali ikawa mbaya wakanipigia nikaenda kumchukua mtt akanieleza kichotokea nikampima akawa na malaria alivyomaliza dawa ikamrudisha kuwauliza matroni kwann wamemfanyia mtt hivyo ikawa kosa na bifu na mtt na mm pia, baada ya wiki tena mtt akaanguka baada ya kuishiwa nguvu nikapigiwa nikamfata akanieleza walikuwa awataki kumpa dawa na wamemchukia eti anawachongea ukweli lilinipain nikamweleza mkuu wa shule lakini aikusaidia nilipomrudisha mtt siku hiyo hiyo alichofanya alitoroka na watt wa day akarudi om analia ucku nilipomwoji aliniambia kaka mm sirudi tena ile shule nilipomwoji ndio akanieleza yanoyoendelea pale nikachoka ni mengi sana nilichofanya nikamwambia atulie nikawa nasubiria shule wanitaarifu mtt yuko wapi tangu j3 hadi ijumaa kmya j5 nikapiga cm wakaniambia mtt yupo anaendelea vzuri nikakasirika sana ijumaa ndio nikamtafuta mwenye shule mwenyewe nikamtaarifu ndio akawapigia shule ndio wanastuka mtt hayupo shule nilichofanya niliwaambia nataka ada yangu nimtafutie mtt shule naona wananizingua ktk hilo jamani niwafanyaje?

Mpeleke islamic schools, zinafundisha sana na zinapasisha, hizi za Saints tuachie wenyewe wenye imani nazo
 
Pole sana ndugu yangu, hizi st siku hizi ni uhuni tu.

We mhamishie shule nyingine huyo mdogo wako aendelee na shule kwani kuendelea kulumbana nao na dogo yuko home utapoteza muda.
Haf kwa sababu kule ameshajulikana kuwa mlezi wake anawachonganisha watendaji wa pale, hata ukimrudisha pale hatasoma vizuri watamwendelezea chuki na hatimaye hatafanya vizuri katika masomo yake.
WE muhamishe hafu ukiweza wabane wakurudishie ada yako.

La mwisho kabla hujamuhamishia mtoto shule hasante sana mkuu tunavyoongea nimeshapata shule ingine na nimelipa kesho nampeleka mtt
 
MI NADHANI HAPO SIPO COZ MAMBO KAMA NI HAYO naon bora umuombe bwana mungu kwa msaada zaidi:spider:

nimeamua kumwamishia shule ingine kuepusha msongamano ninachotaka wanirudishie ada yangu kwani mtoto ajasoma ata wiki darasani
 
Achana nao. Hesabu hasara na umshukuru Mungu kwamba mtoto wako ni mzima.

Ila kama unataka kufungua kesi (ili polisi nao wapate chai) basi unaweza kuwapeleka polisi..Ila hata wewe uwe tayari kuwapa polisi chochote!

hivi kweli nisamehe milioni moja na k2 na mtt ajamasoma wiki 1 class kweli mkuu
 
Mwamishe shule
1. Hata kama ukimwacha wanakuwa na uchungu na mtoto hata kuwa na amani na watu wanaotakiwa kumwangalia
2. Kuna shule nzuri unaweza kupata kwa bei hiyo
3. Kama ni mtoto wa miaka 13-17 inabidi uwe makini kwasababu vilevile huu ni wakati watoto wanaanza viburi kidogo

nimeshamwanisha kwakweli sio kburi cha mtt kwanza ni mgeni lakini umewai kuona matroni wa miaka 22 kama walivyoniambia kudili na watt kuanzia miaka 13 hadi 21 ebu piga picha mkuu
 
Muhamishe mtoto shule.
Hilo bifu zito.
Kuhusu hela naona pagumu. Ingekuwa wao ndio wamemfukuza ingekuwa rahisi kudai chako. Ila kajaribu.
 
nataka nijaribu wameniambia niandike barua yakudai kurudishiwa ada nitoe na sababu japo wanauzembe kwa mtt kutoroka mikononi mwao na ndani ya siku 5 wasijue na nilipouliza wananiambia yupo shule na anaendelea vzuri
 
Back
Top Bottom