Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 909
- 2,933
kwan hii dunia n yetu? In arusha voiceChukua za miaka 20.

Sasa kuna za miaka 25 zenye riba kubwa zaidi (15.95%). Dunia iwe yetu au vinginevyo mimi ningechukua hizi.kwan hii dunia n yetu? In arusha voice
Asante kwa ufafanuzi huu. Bado naliwazia hili wazo. Nimewaza pia kuwekeza kwenye soko la hisa tu. Hasa the USNimependa mpango wako wa investment, labda ningekushauri kidogo
Nunua Bond ya Miaka 25 kwenye Soko la awali (Primary Market), coupon yake ni 15.95% hebu tuangalie hapo chini mchanganuo wake WA MIAKA 8
Amount Coupon per annum year 1 year 2 year 3 year 4 year 5 Year 6 year 7 Year 8 TOTAL 100,000,000 15.95%15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 15,950,000.00 127,600,000.00
Kwa mahesabu ya haraka haraka ya reducing Balance ukichukua 100M kwa muda wa miaka 8 mpangilio wake utakuwa kama ifuatavyo
Amount Loan interest Rate no of months monthly Payment 100,000,000.00 5.6%96.00 1,294,752.77
Key issue monthly repayment hyo ya 1.2M
Scenario: mkopo uliochukua hujaweka dhamana Bond lakini umechukua mkopo umenunua bond sababu ya Arbitrage,
sasa sababu umechukua mkopo makato yanaanza kila mwezi! lakini usiogope
kumbuka bond inalipa coupon semi annually maana yake unalipwa 2 times per year kila baada ya miezi 6
so kwa Bond ya 25 years unapata 15.95% kwa mkopo wa milioni 100 ni 15,950,000 M kwa mwaka. Hii inamaanisha kila baada ya miezi 6 utalipwa 7,975,000.00 tsh.
TUANGALIE MALIPO KWA NJIA YA JEDWALI
Monthly Payment Amount Source of Funds Comments TOTAL AMOUNT PAID BY SALARY January 1,294,752.77 Paid by your salary February 1,294,752.77 Paid by your salary March 1,294,752.77 Paid by your salary April 1,294,752.77 Paid by your salary May 1,294,752.77 Paid by your salary June 1,294,752.77 Paid by your salary Receiving coupon from Bond 7,768,516.62 July 1,294,752.77 Paid by bond 7,975,000.00 August 1,294,752.77 Paid by bond 6,680,247.23 September 1,294,752.77 Paid by bond 5,385,494.46 October 1,294,752.77 Paid by bond 4,090,741.69 November 1,294,752.77 Paid by bond 2,795,988.92 December 1,294,752.77 Paid by bond 1,501,236.15 January 1,294,752.77 Paid by bond 7,975,000.00 Receiving coupon from Bond February 1,294,752.77 Paid by bond 6,680,247.23 March 1,294,752.77 Paid by bond 5,385,494.46 April 1,294,752.77 Paid by bond 4,090,741.69 May 1,294,752.77 Paid by bond 2,795,988.92 June 1,294,752.77 Paid by bond 1,501,236.15 July 1,294,752.77 Paid by bond August 1,294,752.77 Paid by bond September 1,294,752.77 Paid by bond October 1,294,752.77 Paid by bond November 1,294,752.77 Paid by bond December 1,294,752.77 Paid by bond
uKIWEZA KULIPA mIEZI 6 YA MWANZONI , BOND ITACOVER MAREJESHO YOTE YALIYOBAKI MPAKA MKOPO UNAISHA , NA PIA UTAPATA TSH 206,483.38 KILA BAADA YA MIEZI 6.
KUMBUKA BAADA YA MKOPO WAKO KUISHA HELA YOTE ITAKAYOINGIA NI YA KWAKO, AMBAPO KUNA HESABU ZAKE ZA KUCOMPOUND PIA TUTAONGELEA SIKU NYINGINE
NB: unapofanya biashara kw adalali lazima akucharge hela ya kukunulia bond, fee ndogo tu ambayosijainclude. Ceteris Paribus
Nafaham hilo mkuuView attachment 1807131
mkuu naomba pia usi sahau kuangalia Hili ,
Bank inaweza kutoa mkopo huo huo kwa 8% Fixed Interest
Bank inaweza ikatoa mkopo huo huo kwa 15% Reducing Balance
View attachment 1807139
pia nakufahamisha
Fixed Interest ya asilimia 8% sio sawa na Reducing balance asilimia 8%.
Kuwa makini.
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Bond ni fixed kwa ninavofahamSo hamna faida kwenye hii biashara km ni hapa Bongo right?
labda akope nje ya Africa riba ndogo aje anunue bonds huku
niulize swali
Interest rate ya bonds ni fixed ama inategemea na soko?.
Mkuu 25 kwenye bonds ya 25year itafaa na malipo yake yatakuajeHabari mkuu:
Majibu kama ifuatavyo:
1: Benki ikipokea hela yako inapeleka wapi? umewahi kujiuliza swali hilo < Treasury department ndo inacontrol function Hizi! itadeal nazo kwenye Money markets mfano treasury bills etc au capital markets treasury bonds. mikopo na vitu vingine. coming to my point kama benki inachukua hela yako na inaenda kupark kwenye Bonds why not wewe mwenyewe usinunue bond direct????? its the same na UTT AMIS (huyu tunamwita fund manager) ana mfuko unaitwa BOnd Fund, sasa kama una hela ya kununua bond why would u ask fund manager to invest for u while u can invest it yourself......... kwenye chain of supply tunasema biashara nzuri ni ile unayoipata kwenye source.
2. Financial report za mabenkiinaingia kwenye "THE BANKING AND FINANCIAL INSTITUTIONS (DISCLOSURES)" chini ya BOT: mabenki yote yanatoa statements zao kwenye magazeti kama sheria inavyosema hapo chini , quartely , annually na pia audited financial statements:
kama unataka comfortability, weka hela yako kwenye Big Banks nikimaanisha mabenki makubwa ambayo yapo nchi nyingi , SIO PROMO ila mfano ABSA, STANCHART , STANBIC pia locals kama NMB na CRDB. by looking at assets tu na service unaitambua hali ya benki hata kabla hujagusa financials, ukigusa financials angalia loans issued na level za default, angalia P&L for the last 3 years, Angalia capital injected za shareholders, angalia deposits, economic capital na Ratios zote
View attachment 1807689
View attachment 1807690
3. its funny lakini ndo ukweli, lakini jiulize why watu hawafanyi hivi. key issue hapa ni hyo 5.6% unaipata wapi? mimi nikiipata hyo rate ya mkopo nachukua Bilioni hata moja! hyo ni very cheap loan lakini nikamtahadharisha aliweka andiko je unakatwa kwa fixed rate au reducing balance maana kuna utofauti hapa.
4. why niweke fixed deposit 6% autorenewal kwa mwaka , wakati naweza kununua bond kwa 15.95% kwa mwaka? why why why???? most of the people wanasema fixed deposit kwa sababu ndo only asset ya investment wanayoijua! nimefanya sana investments kwenye category nyingi so najua diversification imekaaje with First Hand experience.
Hapa utamuwekea mtoto wako bond na wewe utajiwekea bond na kama usipochukua ukareinvest,
Je kipi bora...nizi-sum up zote to have 160M then nitafute Bonds za TOT ama kila mtoto apate Bonds individually na pia mie nipate mkopo wa 200M (naweka nyumba bond) nauservice mkopo for 6 initial months then after coupon inaniendeshea installment as soon the 7th installment? Huku ile 100M yangu iko kule kule kwy Fixed Acc#? Hebu naomba nishauri mkuu nikimbie hizi ajira nianze kula mema ya nchi.
sum up zote mil 160, nunua bond ya 25 yrsmara moja kula mema ya nchi! kuhusu kuweka nyumba kuchukua mkopo imekaa pouwa lakini most likely inakuwa sio realistic sababu kupata taasisi inayokukopesha kwa 5.6% kama muandishi wa kwanza alivyoandika sio mchezo. lakini kama ukipata its the best thing lakini kama huna itabidi hapa kurudi kwenye calculator zetu kuanza mipango tena........ ukitaka kupata rate nzuri mara nyingi ni through SACCOSS. na vijicoba na vijitu hvyo vidogodogo.
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Watu wanacheki na kulinganisha benki mbalimbali kuona wapi rate za fixed deposit ni kubwa zaidi kwa ajili ya kuwekeza.Kwani Fixed deposite zina risk?
Nadhani kwa pesa aliyonayo hata akienda commercial banks na kuomba interest rate nzuri kwa huo muda wa miaka 10 atapatiwa tu.
Muhimu nadhani ni kutembelea mabank.
Nakulbuka one time kabla ya janga hili la corona 'tuliwekeza fixed deposit' ya kama 90M au chini yake... pale Access bank kwa mwaka mmoja then nikaomba faida iingie kwa account ili niweze kuitoa kila mwaka...afu nikampa wife ile ATM card...mamaye aliniona zungu...mtoto alikuwa anaenda chomoa kama 1M kila mwezi...hapo hakuniomba tumizi lolote nikafocus na issues zingine tu...
But for now rates zimeshuka sana karibu mabank yote. This is from experience maana niliifanya hii.
You need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
You are correct - nime ignore so many factors including including loan repayment
Hata kama mkopo utakuwa calculated on the remaining balance of the loan (reducing balance ) still utatakiwa kulipa 19.6 Million kwa mwaka while you earn 13.5 Million yearly
So for the next six years atalazimika kutafuta other means za kuservice mkopo mpaka aumalize and then baada ya hapo ndo utaweza kuona faid
mbona kama mmemtisha hivi?You need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
Kazi iendelee mkuu asante kwa madini!Habari mkuu:
Majibu kama ifuatavyo:
1: Benki ikipokea hela yako inapeleka wapi? umewahi kujiuliza swali hilo < Treasury department ndo inacontrol function Hizi! itadeal nazo kwenye Money markets mfano treasury bills etc au capital markets treasury bonds. mikopo na vitu vingine. coming to my point kama benki inachukua hela yako na inaenda kupark kwenye Bonds why not wewe mwenyewe usinunue bond direct????? its the same na UTT AMIS (huyu tunamwita fund manager) ana mfuko unaitwa BOnd Fund, sasa kama una hela ya kununua bond why would u ask fund manager to invest for u while u can invest it yourself......... kwenye chain of supply tunasema biashara nzuri ni ile unayoipata kwenye source.
2. Financial report za mabenkiinaingia kwenye "THE BANKING AND FINANCIAL INSTITUTIONS (DISCLOSURES)" chini ya BOT: mabenki yote yanatoa statements zao kwenye magazeti kama sheria inavyosema hapo chini , quartely , annually na pia audited financial statements:
kama unataka comfortability, weka hela yako kwenye Big Banks nikimaanisha mabenki makubwa ambayo yapo nchi nyingi , SIO PROMO ila mfano ABSA, STANCHART , STANBIC pia locals kama NMB na CRDB. by looking at assets tu na service unaitambua hali ya benki hata kabla hujagusa financials, ukigusa financials angalia loans issued na level za default, angalia P&L for the last 3 years, Angalia capital injected za shareholders, angalia deposits, economic capital na Ratios zote
View attachment 1807689
View attachment 1807690
3. its funny lakini ndo ukweli, lakini jiulize why watu hawafanyi hivi. key issue hapa ni hyo 5.6% unaipata wapi? mimi nikiipata hyo rate ya mkopo nachukua Bilioni hata moja! hyo ni very cheap loan lakini nikamtahadharisha aliweka andiko je unakatwa kwa fixed rate au reducing balance maana kuna utofauti hapa.
4. why niweke fixed deposit 6% autorenewal kwa mwaka , wakati naweza kununua bond kwa 15.95% kwa mwaka? why why why???? most of the people wanasema fixed deposit kwa sababu ndo only asset ya investment wanayoijua! nimefanya sana investments kwenye category nyingi so najua diversification imekaaje with First Hand experience.
Hapa utamuwekea mtoto wako bond na wewe utajiwekea bond na kama usipochukua ukareinvest,
Je kipi bora...nizi-sum up zote to have 160M then nitafute Bonds za TOT ama kila mtoto apate Bonds individually na pia mie nipate mkopo wa 200M (naweka nyumba bond) nauservice mkopo for 6 initial months then after coupon inaniendeshea installment as soon the 7th installment? Huku ile 100M yangu iko kule kule kwy Fixed Acc#? Hebu naomba nishauri mkuu nikimbie hizi ajira nianze kula mema ya nchi.
sum up zote mil 160, nunua bond ya 25 yrsmara moja kula mema ya nchi! kuhusu kuweka nyumba kuchukua mkopo imekaa pouwa lakini most likely inakuwa sio realistic sababu kupata taasisi inayokukopesha kwa 5.6% kama muandishi wa kwanza alivyoandika sio mchezo. lakini kama ukipata its the best thing lakini kama huna itabidi hapa kurudi kwenye calculator zetu kuanza mipango tena........ ukitaka kupata rate nzuri mara nyingi ni through SACCOSS. na vijicoba na vijitu hvyo vidogodogo.
NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mkuu umedadavua vyema Hadi nimeshibaYou need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
Bond utoi hela ,mpaka muda wa mkubaliano ukifika...Habari za leo wadau,
Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka.
Background kidogo:
Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.
Mimi sio mtu wa biashara na pia kazi nayofanya hainipi muda wa kufanya biashara.
Nimewaza nichukua huu mkopo (100M) then niwekeze kwenye hati fungani za muda mrefu(15 years - 13.5% au 20 years - 15.49%, source:BOT)
Then hela nayopata kwenye hati fungani niitumie kurejesha mkopo wangu ambao utakuwa wa miaka 6. Kwa maana hiyo mambo mengine yataendelea kama kawaida.
Ni wazo nimeliwaza sijui wanajukwaa mnalionaje, ushauri wowote unakaribishwa.
Asante
Heheheheh halafu inamtafuta dalali alpha akutafutie watejaJenga nyumba M100,hukosi kodi laki 5 kwa mwezi