Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn x

pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
250
Habari za jioni wadau

Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?

Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote.
 
pitbull

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
592
250
Habari za jioni wadau,

Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
 
Magari damu

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
249
500
Runx ni poa zaidi...ina nafasi kubwa compared tu hio ist, na pia hazitumiwi na watu wengi bongo hapa ukilinganisha na ist. Japo price ya runx itakua juu kidogo ukilinganisha na ist
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
8,214
2,000
Runx na IST zote zinatumia engine moja. Tuki assume IST ni ile 1st gen.

NZ-FE VVTi

Kwahiyo kwa kuhusu spare, consumption, zote sawa tu.

Ila IST ina rough ride jaman, zile sunspension sijui za Sport car? Runx ipo smooth sana utainjoy.

Pia Runx ina low ground clearance kwahiyo jiandae kugonga chini kama unakaa mabondeni.
 
So apo ipi imekaa vizur
 
KINGSLEE

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
735
1,000
Habari za jioni wadau
Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
Nakuongezea na Toyota Allex
 
lynch

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
241
250
Habari za jioni wadau
Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
Heb Jarib kuiongeza na Hii premio kwenye hyo list yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom