Nichukue hatua gani?

Kilimo acheni tu, ni very stressful
We acha ndugu yangu hata sijui nilie tu mana mchicha wangu mwengine umekuwa mkubwa ila bei sokoni hailipi kabisa mchicha kichenga 50 Mia moja hadi 150 kwa jumla. Moyo umekufa ganzi mboga zimekuwa nyingi masokoni bei imechafuka markets saturation.
 
Back
Top Bottom