Dirty mindHaaaaa, mi nikajua nini....kumbe betry daaah. Mbona munatupa pressure.
Unaweza kuchomoa na lisiwe tatizo, ila hii ni kwa wenye utaalamu wa vitu vya umeme .
Hahaaaa, mkuu unaenda na li extinguisher , kweli binadamu sisi ni wabishii
naona na polisi anahakikisha akuna wa kuchomoa