Nicheck hapa nikuuzie laptop mpya kwa bei nafuu.

mchushi

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
216
98
Nakuja sokoni mkononi nikiwa na laptop aina ya lenovo idea pad 300 hii ni mpya (used for only 3 months) ina specs hizi hapa chini
Windows10 Pro 2015 original version
Intel Processor(N3050)
500GB HDD
2GB RAM
Inakaa na chaji kwa masaa manne
Na unapata kila kitu
Kwa bei ya 460k
Karibuni sana......hasa kwa wale mnaojitayarisha kuingia universities
Ni PM for info's pamoja na contacts if interested. Or call 0656166717
IMG_20160914_125346.jpg
IMG_20160914_125811.jpg
IMG_20160914_125450.jpg
IMG_20160914_125517.jpg
IMG_20160914_125636.jpg
IMG_20160914_125557.jpg
 
Back
Top Bottom