Nichague Perfume ipi kati ya hizi?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,851
5,860
Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
 
creed aventus,kama ukifanikiwa kuletewa hiyo utatupa mrejesho hapa.
IMG_6491.JPG
 
Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Kati ya hizo creed siijui harufu take!!!
ila Kwa hizo zingine TOM FORD is the best....... Napenda sana mkaka awe ananukia hivyo
 
Creed is another thing,kwwnza bei yake ni mkasi na kama ipo dukani nadhani hawawezi hata kukupa ujaribu.Tom Ford zipo nyingi sana,Tom Ford London,TF-Tuscan Leather,TF-London ila hii TF-Black Orchid iko marketed kama perfume ya kike na hata harufu yake iko feminine japo kuna wanaume wanaipaka
 
Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Kama una shida ya kwapa basi tumia limao/ndimu. Ni buku tu achana na mbwembwe za mapafyumu ya bei ghali...

Kata limao, ukiwa unaenda kuoga paka kwapani... Ukitoka hapo uko FRESH!!
 
Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Naijua Tom ford nilishaitumia, ni nzuri sana. Harufu yake imepoa.
 
Kuna mdau amenipa hii list nichague moja tu ili aniletee. Sasa sijui ipi ni.nzuri kushinda nyingine naombeni msaada wenu, ipi nichague ambayo ni nzuri miongoni mwa hizi
Invictus
Creed aventus
Sauvage
Tom Ford black orchid

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
One Million
images (76).jpeg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom