Nibora vita kuliko mafisadi kuendelea tesa taifa hili...

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,616
12,277
Mh Rais tunaunga mko juhudi zako kwa asilimia mia. Na kama kuna mtu anadhani nguvu zako ni za soda basi waanze kutafuta taifa lakulihujumu. Imetosha imetosha watanzania wote tulio na mapenz mema kwa taifa tushirikiane na kushìrikiana na majeshi yote kumlinda Rais wetu wa jamuhur ya muungano. Kazi ndio imeanza na kila mtu atakula cake ya taifa.
 
Tatizo Ni kuwa Rais hajui nchi yake ipo katika mfumo upi wa kiuchumi. Hili nchi iendelee inahitaji wafanyabiashara Na Hili wafanyabiashara wafanye shughuli zao kwa amani wanawahitaji wanasiasa.
 
wanasiasa ili wawashawishi kufanya mambo ya kijinga kamakuficha bidhaa ili bei zipande waje kuuza kiholela ila wananchi waichukie serikali iloyo madarakani na wao wapate la kusema.
Tatizo Ni kuwa Rais hajui nchi yake ipo katika mfumo upi wa kiuchumi. Hili nchi iendelee inahitaji wafanyabiashara Na Hili wafanyabiashara wafanye shughuli zao kwa amani wanawahitaji wanasiasa.
 
IMG_20160508_101354.jpg
 
Mh Rais tunaunga mko juhudi zako kwa asilimia mia. Na kama kuna mtu anadhani nguvu zako ni za soda basi waanze kutafuta taifa lakulihujumu. Imetosha imetosha watanzania wote tulio na mapenz mema kwa taifa tushirikiane na kushìrikiana na majeshi yote kumlinda Rais wetu wa jamuhur ya muungano. Kazi ndio imeanza na kila mtu atakula cake ya taifa.
unafikiri mihemuko yako ndio itakayo shusha bei ya sukari?
 
Mh Rais tunaunga mko juhudi zako kwa asilimia mia. Na kama kuna mtu anadhani nguvu zako ni za soda basi waanze kutafuta taifa lakulihujumu. Imetosha imetosha watanzania wote tulio na mapenz mema kwa taifa tushirikiane na kushìrikiana na majeshi yote kumlinda Rais wetu wa jamuhur ya muungano. Kazi ndio imeanza na kila mtu atakula cake ya taifa.
Akili yako haina akili.
Nimekudharau
 
Tatizo Ni kuwa Rais hajui nchi yake ipo katika mfumo upi wa kiuchumi. Hili nchi iendelee inahitaji wafanyabiashara Na Hili wafanyabiashara wafanye shughuli zao kwa amani wanawahitaji wanasiasa.

Hapana. Ndiyo ambacho watanzania hamuelewi. Hao viongozi hawawajali. Wanasiasa hawajali biashara. Unahitaji kujua psychologia ya watu wenye tamaa na hamu ya nguvu za kisiasa. Hao watu ni wanafiki. Wako tayari kudanganya, kuiba na kuua ili tu wawekwe madarakani. Kwanini tanzania kukiwa na tatizo mnakimbilia hawa watu badala ya kubuni wenyewe njia za kutatua hayo matatizo? Serikali ndio chanzo cha matatizo siyo suluisho.
 
Back
Top Bottom