Nibobee ktk Masomo Gani ili niweze tengeneza BIOLOGICAL WEAPONS NA SUMU MBALI MBALI?

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
16,113
33,398
wana taaluma mnakumbuka jamaa kutoka north Korea baada ya kupakwa kitu usoni alipo kuwa airport hakuchukua hata masaa sita kabla hajakauka?

ni juzi juzi tu muingereza kaingia ktk mgogoro na mrusi juu ya agent mmoja anayesadikika kupewa/kushambuliwa kwa sumu aina ya novichok

sa nahisi tk majeshi yetu hakuna wataalamj wa haya mambo nataka niwe mtaalamu ili niwe kwenye kitengo hicho huko jeshini ama kwenye idara yoyote itakayo penda kufanya kazi pamoja na mimi.
NB:KWA AJILI YA UZALENDO NDO DHIDI YA MAADUI WA TAIFA NA SIO KWA AJILI YA KUONEA WANYONGE NA WATETEZI WENGINE WA HAO WANYONGE.

AHSANTE
--------------------------------------------------------

Sina mashaka juu ya haki yako ya kuyapata maarifa hayo, hofu Yangu ni kwenye NIA yako.

Nakutakia masomo mema lakini mkuu, huenda ni kweli maarifa hayo utayatumia kwa maslahi chanya ya taifa.
unapo sema maslah ya taifa kulindwa ni pamoja na kucheza faulo

kwa mfano nchi yetu ipo ktk ushindani wa kuchukua mradi fulani kwa asilimia kadhaa (kama ilivyo kuwa kwenye bomba la mafuta la uganda tulivyo chuana na kenya)

sasa yule mwenzangu ninaye fanya naye ushindani namchomekea kitu(biological weapon) kitakacho disturb mind yake na hivyo kujikuta ktk majadiliano namshinda na kutwaa hiyo project.

kwa taifa nitaonekana hero ila kwa upande wa pili nitaonekana adui kwahiyo unapo sema NIA ni neno pana wewe unaweza kui chukulia in a positive way wakati mwenzako akaona ni kitendo kibaya.

hapo pi mkuu
 
Njoo nikufundishe uchawi, utatengeneza mabomu na majini ya kila aina. Nifuate PM
ahahhah we ulishindwa kupata mayai ya bundi utaweza kunifundisha huo uchawi?
 
wana taaluma mnakumbuka jamaa kutoka north Korea baada ya kupakwa kitu usoni alipo kuwa airport hakuchukua hata masaa sita kabla hajakauka?

ni juzi juzi tu muingereza kaingia ktk mgogoro na mrusi juu ya agent mmoja anayesadikika kupewa/kushambuliwa kwa sumu aina ya novichok

sa nahisi tk majeshi yetu hakuna wataalamj wa haya mambo nataka niwe mtaalamu ili niwe kwenye kitengo hicho huko jeshini ama kwenye idara yoyote itakayo penda kufanya kazi pamoja na mimi.
NB:KWA AJILI YA UZALENDO NDO DHIDI YA MAADUI WA TAIFA NA SIO KWA AJILI YA KUONEA WANYONGE NA WATETEZI WENGINE WA HAO WANYONGE.

AHSANTE
Soma Molecular biology and Biotechnology.
 
wakat saiv tungesha chimbua hayo ma uranium ambayo tunaambiwa tunayo ya kutosha
 
Back
Top Bottom