Nibainishie uwezo wako wa uelewa/kufikiri na utambuzi

mwalimu na mwanafunzi:

mwalimu:
ukiambiwa uchague kati ya pesa na akili utachagua nini?

denti:
nitachagua pesa

ticha:
ah ha ha ha, mimi ningechagua akili.

dent:
sawa mwalimu, kila mtu anachagua ambacho haną.
 
mwalimu na mwanafunzi:

mwalimu:
ukiambiwa uchague kati ya pesa na akili utachagua nini?

denti:
nitachagua pesa

ticha:
ah ha ha ha, mimi ningechagua akili.

dent:
sawa mwalimu, kila mtu anachagua ambacho haną.

hahahahaha
 
mwalimu na mwanafunzi:

mwalimu:
ukiambiwa uchague kati ya pesa na akili utachagua nini?

denti:
nitachagua pesa

ticha:
ah ha ha ha, mimi ningechagua akili.

dent:
sawa mwalimu, kila mtu anachagua ambacho haną.

Umeniwahi yaani
 
mwalimu na mwanafunzi:

mwalimu:
ukiambiwa uchague kati ya pesa na akili utachagua nini?

denti:
nitachagua pesa

ticha:
ah ha ha ha, mimi ningechagua akili.

dent:
sawa mwalimu, kila mtu anachagua ambacho haną.

Hilo neno.......
 
Hapo ndo utajulikana kama una akili au huna,ukichagua akili utakuwa huna akili lakini ukichagua pesa ntakuona una akili saaana!
 
pesa zinatafutwa bwana.... Ila akili haitafutwi, kama huna huna tu......... Na hata ukiwa nazo watu watakuona bogus tu....... Akili ndo mpango mzima
 
Back
Top Bottom