Nibainishie uwezo wako wa uelewa/kufikiri na utambuzi

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Mathalani ameshuka Malaika wa Rehema.
Akawa yupo mbele ya uwepo wako, kisha akapaza sauti na kunadi hivi :-
"Ewe Mwanadamu nimekuja na zawadi ya maana kwako, nina aina mbili ya zawadi. Ambapo unapewa fursa uchague mojawapo kati yake itakayokufaa katika maisha yako, mkononi kwangu nina
AKILI na
FEDHA
Tafadhali chagua kimoja."
(mwisho wa kunadi)
Ndugu yangu mdau unaesoma hapa utachagua nini ?
Ikiwa utachagua Mkwanja toa sababu.
Na ukichagua AKILI pia toa reasons.
Naomba kutoa hoja.
 
Pesa bila akili utaishia kuwa kama akina mike tyson who blew up everything he had kwa ujinga wake, akili nyingi nazo huondoa maarifa,best kuwa na vyote pesa ndefu na kichwa inayochemka.
 
Pesa bila akili utaishia kuwa kama akina mike tyson who blew up everything he had kwa ujinga wake, akili nyingi nazo huondoa maarifa,best kuwa na vyote pesa ndefu na kichwa inayochemka.

Kiongozi nitachanganua mchango wako baadae, ngoja nipate michango mingine.
 
me ntachagua pesa make akili ninazo. make unaweza kuwa na pesa bt ucwe na akili ya kuzitumia. bt ukiwa na akil ukipewa pesa utaweza kuzitumia
 
Mie pesa mbele, akili mbele kwa mbele. akili zitanisaidia nini.
 
Remmy mkwanja bila akili ni sawa na kupaka rangi upepo!

Akili zitanisaidia nini. Zitanipa mahitaji? umenambia nichague moja. will go for money mwendo wa kula bata. hata kichaa anajua kutumia pesa.
 
Akili zitanisaidia nini. Zitanipa mahitaji? umenambia nichague moja. will go for money mwendo wa kula bata. hata kichaa anajua kutumia pesa.

Ok siwezi nikukatalie coz ni selection.
Bt nakusihivi midamida usiache kurudi kwenye uzi huu uje uone my choice.
 
Back
Top Bottom