Niapply chuo gani kusomea Doctor of Medicine(MD)?

Hauna point saba hapo cha kwanza! Grade zako zibadlishe kwnye new grade system ya necta 2016 then utafte cut point zako! Uangalie tcu guide book ya 2016/2017 kuna list ya vyuo na minimum cut points wanazotaka!.. Apply ambacho unafkisha cutpoint zao.
 
Waheshimiwa naombeni msaada

Kulingana na cutting points walizitoa TCU mie nina point saba yani BB+ in chemistry and biology f6 2015. Niombe chuo kipi kwa MD?
Uki convert hiyo ni C...B...ambazo ni point 7 ..mwaka huu kwa Mara nyingine ni mgumu sana kwa watu wa MD maaana udom..st Francis.. Ajuco...vyote vimefungiwa kuchukua MD kwa mwaka huu hivyo competition imekuwa kubwa zaidi....Mm nakushaur fikiria Ku apply course zingine zaid ya hiyo MD .....ufaulu kwa PCB umeingezeka NA vyuo vimepunguzwa
 
Watu wengi wameweka vyeti vyao vya MD ndani kwa sbb ya masalahi duni,

MD wanasoma watoto wamaskini tu ambao kwao mkopo wa serikali ndio only means ya kusoma na kumaliza chuo kikuu

Kama wewe ni mmojawapo hongera, ila KCMC ndo chuo kizuri zaidi,
 
Inamaana degree unayoipata kcmc ni tofauti na ya muhas au cuhas au kairuki au udsm?? Talk somethng weightfull! Wanaosoma huko hawaitwi ma dctr?? Kwann kcmc ndo chuo bora zaidi?? Kisa wanaongeza ada?? Explanations!
 
Mbona povu, shida nini? ulitaka aseme udsm au? kcmc wamejipanga bna
 
Watu wengi wameweka vyeti vyao vya MD ndani kwa sbb ya masalahi duni,

MD wanasoma watoto wamaskini tu ambao kwao mkopo wa serikali ndio only means ya kusoma na kumaliza chuo kikuu

Kama wewe ni mmojawapo hongera, ila KCMC ndo chuo kizuri zaidi,
kcmc ipi nayosoma mimi au??
 
Inamaana degree unayoipata kcmc ni tofauti na ya muhas au cuhas au kairuki au udsm?? Talk somethng weightfull! Wanaosoma huko hawaitwi ma dctr?? Kwann kcmc ndo chuo bora zaidi?? Kisa wanaongeza ada?? Explanations!
Kcmc ni best hata products zao ni quality kama unaweza jaribu kufuatilia wao wana maabara bora ya kisasa ya uchunguzi iliyoweza pima ebola tz yote haipo hadi kenya na pia wanaushirikiano na duke university in short they r doin great
 
Thats wat i needed! Lkn about products zao hujaongelea nn kinamtafautisha daktari aliesoma kcmc frm othr places!??
 
Experience na exposure yao kwa wagonjwa ni kubwa sana tofauti na vyuo vyetu vingine too much of theories na nilisikia am not sure kuwa baadhi yao wanajaribu kuchukua curriculum ya kcmc iliyoandikwa na professa mmoja ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa hospitali ya bugando
 
Okay brthr! Nice documentation frm you.
 
Habarine..kaka chagua Ajuco cutt point ni 4.5 hiki hakijafungiwa.tcu washatoa tamko kwamba kujua vyuo vilfofungiwa hadi watoe tamko wao.
 
Thats wat i needed! Lkn about products zao hujaongelea nn kinamtafautisha daktari aliesoma kcmc frm othr places!??
Ulipata ngapi form four? Or u can apply for Doctor of dental surgery at Muhas coz MD kwa performance ya mwaka huu hutopata chuo kizuri like Muhas. Labda uende chuo cha kata kma kcmc
 
Back
Top Bottom