mt.j
JF-Expert Member
- Dec 10, 2014
- 284
- 277
Niliajiriwa katika halmashauri fulani mwaka 2013 kama mwalimu wa shule ya msingi na ndani ya mwaka huo nilichukua mkopo wa shilingi Milioni 5.
Mwaka jana mwez wa 9 sikuhudhuria kazini na ikapelea kufungiwa mshahara sababu skutoa taarfa yoyote ya kutokuwepo kazini. Ukweli ni ni kwamba nilienda Kenya kwenye msib wa mdogo wangu, huko nikapata ajali na nimekaa nyumbani kwa kipindi hiko chote. Sasa nina nafuu maana nilipooza upande mmoja.
Nahisi watakuwa wameshanifukuza kazi na mimi nataka kurudi, nianzie wapi? Nataaka kurudi kazini japo kweli nilifanya kosa, je niende TAMISEMI ama wizarani?
Nisaidieni!