Nianzie wapi kurudi kazini?

mt.j

JF-Expert Member
Dec 10, 2014
284
277
Niliajiriwa katika halmashauri fulani mwaka 2013 kama mwalimu wa shule ya msingi na ndani ya mwaka huo nilichukua mkopo wa shilingi Milioni 5.

Mwaka jana mwez wa 9 sikuhudhuria kazini na ikapelea kufungiwa mshahara sababu skutoa taarfa yoyote ya kutokuwepo kazini. Ukweli ni ni kwamba nilienda Kenya kwenye msib wa mdogo wangu, huko nikapata ajali na nimekaa nyumbani kwa kipindi hiko chote. Sasa nina nafuu maana nilipooza upande mmoja.

Nahisi watakuwa wameshanifukuza kazi na mimi nataka kurudi, nianzie wapi? Nataaka kurudi kazini japo kweli nilifanya kosa, je niende TAMISEMI ama wizarani?

Nisaidieni!
 
La kwanza ni kujua kwanza kama umefukuzwa au la, wasiliana na mwajiri wako kwa taarifa za hali ya ajira yako...
 
hukwenda kwenye msiba ww na wala hukupata ajali sema ulikua na mambo yako umeona pesa imeisha unataka tena urudi ukakope sababu mda wa mkopo unaelekea kuishi.Akili ya kitoto bwamdogo hiyo.Kila siku watu twalia ajira humu ww wachezea ajira kisa millioni tano.
 
MM NILIACHA MIAKA KAMA KUMI HIVI.....KISA NILIENDA KUSOMA FANI TOFAUTI NA TEACHING, NILIPOMALIZA MASOMO NIKAAJILIWA SEHEMU NYINGINE ktk NGOs, mwenye kujua naomba kuuliza inawezekana Jina langu limeshafutwa huko UTUMISHI?
 
Haswaa umenena vema,achana naye anazingua tu
 
Niliajiriwa katika halmashauri fulani mwaka 2013 kama mwalimu wa shule ya msingi na ndani ya mwaka huo nilichukua mkopo wa shilingi Milioni 5.

Mwaka jana mwez wa 9 sikuhudhuria kazini na ikapelea kufungiwa mshahara sababu skutoa taarfa yoyote ya kutokuwepo kazini. Ukweli ni ni kwamba nilienda Kenya kwenye msib wa mdogo wangu, huko nikapata ajali na nimekaa nyumbani kwa kipindi hiko chote. Sasa nina nafuu maana nilipooza upande mmoja.

Nahisi watakuwa wameshanifukuza kazi na mimi nataka kurudi, nianzie wapi? Nataaka kurudi kazini japo kweli nilifanya kosa, je niende TAMISEMI ama wizarani?

Nisaidieni!

Nenda kaongee na Mamlaka zako za nidhamu (TSD na DED) katika Wilaya yako ukiwa na vidhibitisho vyote
 
hukwenda kwenye msiba ww na wala hukupata ajali sema ulikua na mambo yako umeona pesa imeisha unataka tena urudi ukakope sababu mda wa mkopo unaelekea kuishi.Akili ya kitoto bwamdogo hiyo.Kila siku watu twalia ajira humu ww wachezea ajira kisa millioni tano.

Unawezaje kumkosoa mtu anasema kapooza? au ni ww umetuma huu ujumbe kwa jina tofauti? na pia ndugu ww rudi kutokana na hali yako watakusikiliza.pole kwa yote!
 
Kosa ulifanya, ina maana wewe hata simu za wakubwa zako shuleni hukuwa nazo, na je uliendaje msibani bila kuaga wakubwa. Sawa kaulize kama ulishafukuzwa, baada ya hapo utajua kama unaonesha vyeti vya daktari au unaanza kusaka ajira upya. Kila lakheri
 
Niliajiriwa katika halmashauri fulani mwaka 2013 kama mwalimu wa shule ya msingi na ndani ya mwaka huo nilichukua mkopo wa shilingi Milioni 5.

Mwaka jana mwez wa 9 sikuhudhuria kazini na ikapelea kufungiwa mshahara sababu skutoa taarfa yoyote ya kutokuwepo kazini. Ukweli ni ni kwamba nilienda Kenya kwenye msib wa mdogo wangu, huko nikapata ajali na nimekaa nyumbani kwa kipindi hiko chote. Sasa nina nafuu maana nilipooza upande mmoja.

Nahisi watakuwa wameshanifukuza kazi na mimi nataka kurudi, nianzie wapi? Nataaka kurudi kazini japo kweli nilifanya kosa, je niende TAMISEMI ama wizarani?

Nisaidieni!

Kwanza tuambie uraia wako maana sidhani kama halmashauri wana kibali kuajiri walimu ambao c Watanzania!!!? Isije ukawa na kosa jingine la kufoji cheti cha kuzaliwa pia!?
 
Mkuu wew ni mzembe wa kupindukia inamaana hata co-worker ulishindwa kuwaomba wakutolee taarifa?
 
Siku zote katika maisha yatakiwa uwe na slogan hii chezea mshahara usichezee kazi
 
Niliajiriwa katika halmashauri fulani mwaka 2013 kama mwalimu wa shule ya msingi na ndani ya mwaka huo nilichukua mkopo wa shilingi Milioni 5.

Mwaka jana mwez wa 9 sikuhudhuria kazini na ikapelea kufungiwa mshahara sababu skutoa taarfa yoyote ya kutokuwepo kazini. Ukweli ni ni kwamba nilienda Kenya kwenye msib wa mdogo wangu, huko nikapata ajali na nimekaa nyumbani kwa kipindi hiko chote. Sasa nina nafuu maana nilipooza upande mmoja.

Nahisi watakuwa wameshanifukuza kazi na mimi nataka kurudi, nianzie wapi? Nataaka kurudi kazini japo kweli nilifanya kosa, je niende TAMISEMI ama wizarani?

Nisaidieni!

nenda kwenye kituo chako cha kazi kwanza mkuu wako atakueleza nini kinachoendelea hlf utajua pakuanzia, ishu kama iyo inahusisha wewe, Mkuu na TSD
 
MM NILIACHA MIAKA KAMA KUMI HIVI.....KISA NILIENDA KUSOMA FANI TOFAUTI NA TEACHING, NILIPOMALIZA MASOMO NIKAAJILIWA SEHEMU NYINGINE ktk NGOs, mwenye kujua naomba kuuliza inawezekana Jina langu limeshafutwa huko UTUMISHI?

nenda kwenye shule uliyokuwa unafundisha muulize mkuu atakua na tarifa za ko
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom