Nianze na kipi kati ya nyumba, gari au mke?

Kama nina mtu sahihi ningeanza na kuoa, mengine yakafuata. Kama ni hao ma pisi kali wa mjini then ningejenga kwanza, kuwa na gari inaweza kukutanisha na wrong person katika mahusiano yako, mtu anaweza kukupenda tuu kwa sababu anapata lift kila akitaka kwenda mahali

Naomba kufunga tread
 
Oa......fungua biashara kubwa.........faida yenu nunua gari......jenga nyumba
 
Ndugu yangu usioe utajuta, hayo mawili utachagua mwenyewe ila kujenga lazima.
 
Back
Top Bottom