Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,075
Habari zenu wadau
Nina tovuti ya kuuza na kununua sasa ipo kwa mda kidogo kama miezi saba na ina google adsence
sasa imefika muda nataka nianze kuitangaza kwenye social Network ili iwe maarufu kwa mkoa mmoja tu watu waanze kuweka matangazo kutangaza bidhaa zao ili niwachaji pesa au nisimame mimi mwenyewe kama dalali vyovyote biashara itakavyokuwa kati ya hayo mawili
sasa sina uzoefu sana kutangaza kwa kulipia matangazo faceboook
Nina mambo mawili nayafikiria kuyafanya kati ya haya
1.kupromote facebook page kwanza
2.kupromote tovuti kwanza then watu watalike page wenyewe
naombeni mawazo kati ya hayo mawili ipi ni best zaidi kuanza nayo
nilikuwa nataka nianze kufanya kile chochote nachoona ni sahihi kuanza nacho lakini naona bado kuna vitu nahitaji kujifunza zaidi kwa watu wenye uzoefu