Nianzaje kumwambia mke wangu mtarajiwa idadi ya watoto nilionao?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,589
2,000
Ndiyo sababu Mkuu taasisi zetu nyingi zinakuwa hazina mafanikio ni uongo uongo tu kila mahali hata DNA wanamlia pesa ME kisha kumdanganya!!! Ya nini kuwa na huduma kama hiyo nchini kisha kutosema kweli!? Si bora waifute tu? Ndiyo sababu siku hizi ME wenye kutaka kuhakikisha kama watoto ni wao wanajiendea Nairobi hivyo kulikosesha Taifa pesa chungu nzima.
Wanaangalia na mazingira ya mtoto baada ya kutoka hapo,
Mkemia jibu atatoa asilimia 90 ni mwanao ata kama sio kweli
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,059
2,000
Ndiyo sababu Mkuu taasisi zetu nyingi zinakuwa hazina mafanikio ni uongo uongo tu kila mahali hata DNA wanamlia pesa ME kisha kumdanganya!!! Ya nini kuwa na huduma kama hiyo nchini kisha kutosema kweli!? Si bora waifute tu? Ndiyo sababu siku hizi ME wenye kutaka kuhakikisha kama watoto ni wao wanajiendea Nairobi hivyo kulikosesha Taifa pesa chungu nzima.
Sasa kwa nini nikapime DNA yaani Nitumie gharama kuudanganya Moyo.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,589
2,000
Unaudanganya moyo kivipi Mkuu? Kama watoto si wa kwako unataka DNA iseme uongo ni wa kwako? Repercussions za majibu ya mtoto kuwa wako au si wako ni kubwa sana katika nchi za wenzetu ila hapa kwetu ni bora liende tu.,

Sasa mkuu unataka nikapime sehemu ambayo Jibu kubwa kwao Ni Ndio.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom