Niandae pesa kiasi gani niweze kwenda China kuchukua nguo

Mahitaji
1.lazima uwe na account ya benk itakayokuwezesha kufanya malipo online
2.Tovuti nzuri ya kuagiza ni Alibaba Find quality Manufacturers, Suppliers, Exporters, Importers, Buyers, Wholesalers, Products and Trade Leads from our award-winning International Trade Site. Import & Export on alibaba.com
Ingia kwenye tovuti, kuna suppliers kibao, Fanya uchunguzi,hakikisha unawauliza maswali ya kutosha kabla ya kuagiza Mzigo,

Agiza Mzigo mdogo kutoka kwa suppliers kuangalia ubora.

Mzigo ukikulidhisha ndipo uanze kuagiza mzigo wa wastani

Gharama za bidhaa ni mdogo mno ,maana unaweza agiza bidhaa ya $1 ukaja kuuza hata 20000tsh

Suala ni kufanya uchunguzi usikurupuke,kuweka mtaji wote kwa Mara ya kwanza
asante mkuu nimeelewa vizuri lakini kwa uchunguzi wangu nimegundua kuwa jingereza kinakuwa kingi sana sasa kama mtu haelewi anatumia njia ipi ili aweze kuagiza mzigo mfano huko alibaba
 
Unatakiwa uwe na
1.passport ya Tanzania 150,000
2 visa ya China 70,000
3 nauli ya kwenda nakurudi dar-ghounzou 2.2million
4 hotel ya kulala kwa Usiku mmoja ni 70,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahitaji
1.lazima uwe na account ya benk itakayokuwezesha kufanya malipo online
2.Tovuti nzuri ya kuagiza ni Alibaba Find quality Manufacturers, Suppliers, Exporters, Importers, Buyers, Wholesalers, Products and Trade Leads from our award-winning International Trade Site. Import & Export on alibaba.com
Ingia kwenye tovuti, kuna suppliers kibao, Fanya uchunguzi,hakikisha unawauliza maswali ya kutosha kabla ya kuagiza Mzigo,

Agiza Mzigo mdogo kutoka kwa suppliers kuangalia ubora.

Mzigo ukikulidhisha ndipo uanze kuagiza mzigo wa wastani

Gharama za bidhaa ni mdogo mno ,maana unaweza agiza bidhaa ya $1 ukaja kuuza hata 20000tsh

Suala ni kufanya uchunguzi usikurupuke,kuweka mtaji wote kwa Mara ya kwanza
Naomba basi ufafanue ili wengi tuelewe.unaagizaje mzigo kupitia mawakala hao ulowatag kwa kuwekea maneno ya blueee.fafanua basi mkuuu Rafiki
 
kam
Mahitaji
1.lazima uwe na account ya benk itakayokuwezesha kufanya malipo online
2.Tovuti nzuri ya kuagiza ni Alibaba Find quality Manufacturers, Suppliers, Exporters, Importers, Buyers, Wholesalers, Products and Trade Leads from our award-winning International Trade Site. Import & Export on alibaba.com
Ingia kwenye tovuti, kuna suppliers kibao, Fanya uchunguzi,hakikisha unawauliza maswali ya kutosha kabla ya kuagiza Mzigo,

Agiza Mzigo mdogo kutoka kwa suppliers kuangalia ubora.

Mzigo ukikulidhisha ndipo uanze kuagiza mzigo wa wastani

Gharama za bidhaa ni mdogo mno ,maana unaweza agiza bidhaa ya $1 ukaja kuuza hata 20000

Suala ni kufanya uchunguzi usikurupuke,kuweka mtaji wote kwa Mara ya kwanza
kama alibaba vitu bei tahisi sana ila usafirishaji ni gharama sana mfano kitu cha elfi 6 usafirihaji unafika 200000 ok
 
Vip biashara inaendeleje kwa sasa?
Bro nataka kuanzisha duka la nguo za mtumba za kike...kila kitu nishakamilisha hadi mzigo baadhi nishanunua sasa nina kama milion moja imebaki wapi naweza kupata blausi,jeans na vishati vikali vya wanawake wamjini wanaojua kuvaa niongezee kwenye duka langu...i am serious nakuja mjini kesho kwa ishu hiyo
 
Back
Top Bottom