Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,016
- 2,592
Mimi ya kwangu ni kuandika summary na kurudia rudia ...but niko advance naona mambo mengi nasahau haraka naombeni mbinu zenu
But mbona huku advance vitu vinasahaurika mkuu...Techniques za kusoma ziko nyingi kutegemeana na malengo yako. Kama malengo yako ni kufaulu mtuhani hata hiyo unayotumia inaweza kuwa technique nzuri tu lakini kama lengo lako ni kuelewa mambo kwa undani ( yaani kuwa nondo) soma vitabu ambavyo huelezea mambo kwa kina
thanks..Hiyo mbinu siyo kusoma bali kukariri siyo nzuri. Soma notice kwanza uelewe then fanya maswali ya mifano kwa kila topiki yasipungue kumi, nilishamaliza vyuo, huo ndiyo ushauri wangu
Be the first
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
Shule zikisha fungwa Bhana hizi mada ndo zinaibuka.... Any way masomo ya sayans you claim then you understand ....mengine ni kutiana moyo tuu.... Much repeatation la sivyo pcb utaiona ngumu kama n kichwa cha panz....haijawah kumwacha mtu salamaMimi ya kwangu ni kuandika summary na kurudia rudia ...but niko advance naona mambo mengi nasahau haraka naombeni mbinu zenu
The more u understand the less u rememberShule zikisha fungwa Bhana hizi mada ndo zinaibuka.... Any way masomo ya sayans you claim then you understand ....mengine ni kutiana moyo tuu.... Much repeatation la sivyo pcb utaiona ngumu kama n kichwa cha panz....haijawah kumwacha mtu salama
Eleza vzr kiveprSkimming, scanning na critical reading
Yaaap ofcoarseThe more u understand the less u remember
Umenikumbusha communication skills,........Skimming, scanning na critical reading
Kama unasahau haraka punguza kupiga puchu mkuuMimi ya kwangu ni kuandika summary na kurudia rudia ...but niko advance naona mambo mengi nasahau haraka naombeni mbinu zenu
Shule zikisha fungwa Bhana hizi mada ndo zinaibuka.... Any way masomo ya sayans you claim then you understand ....mengine ni kutiana moyo tuu.... Much repeatation la sivyo pcb utaiona ngumu kama n kichwa cha panz....haijawah kumwacha mtu salama
Da mzee puchu inapunguza memory kivepe!!!!Kama unasahau haraka punguza kupiga puchu mkuu
Mmmh kiongozi hebu ifafanue vizuri umenitisha.The more u understand the less u remember