Niaje herufi "T"?

Mkuu, itabidi uombe samahani kwa wana- JF, kwani haujatenda haki kwao!
Angalia majina yhaya ya wana Jf:

TandaleOne; Tristan, Terrel, Terabojo, Trace, Tidito
Techman, The Romantic, Thomas, Tsidekemu
,
Tata na wengine wengi.
 
jamani, kulikoni na hii herufi T? nahisi imerogwa na alie iroga kasha dead,.ebu check;

TANESCO,
TCU,
TFDA,
TRC,
TAKUKURU,
TBC,
na TANZANIA yenyewe.,
na sasa TIGO,.yaniiii, we achatuu,.

hasa TBC Mkuu hiii kitu kimeo kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom