jamani, kulikoni na hii herufi T? nahisi imerogwa na alie iroga kasha dead,.ebu check;
TANESCO,
TCU,
TFDA,
TRC,
TAKUKURU,
TBC,
na TANZANIA yenyewe.,
na sasa TIGO,.yaniiii, we achatuu,.
Aaaaaa, achen hizo Bana,, kwani TANMO ana tatizo gani?
mjeuri sana.
Umenionea Bana, mi siyo mjeuri kabisa. Haki tena!
pole kwa kuonewa.