Niagize chochote Dubai

IMG_20240524_235620_084.jpg
kwa dar es salaam inakufikia popote Ina Kasi kubwa...zaidi ya mbs 100...unaweka laini ya mtandao wowote...njoo na 110,000/=

Kuweka order piga simu +971581480619​
 
IMG-20240524-WA0028.jpg
njoo na offa ya 100,000/= nikupe kifaa hicho Cha kijanja...kabisa kina speed kubwa ya internet...unaunganisha Hadi watumiaji 10 na zaidi kwa speed kubwa...! Inatumia laini ya mtandao wowote...!

Ukihitaji order kuanzia 20 bei itashuka zaidi...!​

+971581480619
 
IMG-20240525-WA0005_1.jpg
ndugu zangu mnao taka simu...sija Wacha nyuma hiyo hapo sasa bei imevunjwa kwa 300,000/= unatumia simu ya kijanja...!​
 
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!

Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.

Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!

Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!

View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!

Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!

Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!

View attachment 2990274
Naomba connection ya huyo gaidi nyuma yako tafadhali....mkwanja mnono utapata tu, usihofu ila asije tu na mabomu.
 
Bado sijayajua yote ila huku nilipo nipo na watu wazoefu wa biashara...faida niliyoipata kwenye safari yangu hii moja wapo ni kukutana na vijana wapambanaji ambao wamejiajiri kwenye biashara na ni watanzania...!

Na sehemu ninazo ishi ambayo naweza kusema ni uswahilini panaitwa Al murar.. hapa ni kama kariakoo kwa huko Tanzania...!

Kwa kifupi zaidi Dubai yote ni mji wa biashara...Kuna biashara mji nzima maduka ya Kila aina...yapo Dubai nzima...!​
Niletee wadada wa kazi wawili

Wawe wafipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom