Niagize chochote Dubai

Bongo watu hujifanya wajuaji sana, na wengi hufikiria kila jambo ni utapeli. Hatua hiyo imefanya watu wengi kuacha kuzifuata fursa, inasikitisha sana!
Walau umenisaidia...unajua anayo haki ya kusema hivyo asilimia 99 ya wafanya online business sio waaminifu

Hao ndio wanao tuharibia waaminifu tuonekane kama ndio wale wale...sisi kama watanzania nikiwemo Mimi inabidi tuwe wa mfano...ili mtu akiwa mtandaoni ajione kama yupo mtaani kwake...! Awe huru na salama...!​

Huku duniani mtandao ni salama kuliko mtaa...

Huku dala dala na tren zinaongozwa kimtandao bila kondakta na wote wanalipa nauli...!​
 
Niretee dogo wake ROBOTI EUNICE
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!

Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.

Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!

Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!

View attachment 2990271
Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!

Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!

Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!

View attachment 2990274
 
IMG_20240524_224554_609.jpg

Hiyo hapo modern inaweza kuconnect Hadi watu 10.. Ina Kasi ya mbs 100...unaweza kuipata kwa elfu 40...tu mzigo unakufikia popote dar es salaam...utakuja kulipia nauli...!

Unaweza kunipata kwa namba +971581480619 Whatsapp only​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom