"niacheni na chuchu wangu,kifupi ndiye mke wangu...." ray afunguka

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Akizungumza wikiendi iliyopita katika Viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dar es Salaam ambapo kulikuwa na mechi kati ya wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Muvi, Ray aliwashangaa waandishi kwa kumshambulia kutoka kimapenzi na Chuchu.

Mwandishi alianza kwa kumwuliza: “Ray magazeti yanaandika kuhusu wewe kutoka na Chuchu Hans ambaye ni mke wa mtu. Mainda amezungumza mengi. Kukaa kwako kimya bila kufafanua chochote siyo kitu kizuri. Tafadhali, hebu zungumza japo kidogo kuhusu madai ya Mainda.”
RAY: Sikia nikuambie, huyo Mainda utoto unamsumbua. Haniumizi kichwa kabisa. Kuhusu Chuchu... si mmeshaandika? Endeleeni kuandika lakini soon mtashuhudia kitu kikubwa sana.

RISASI: Ni kitu gani hicho?
RAY: Niacheni na Chuchu wangu.... kifupi ndiye mke wangu na itawashangaza wengi. Halafu mimi nawashangaa sana. Yaani mimi kutoka na Chuchu mnakuzaaaa... mbona alivyokuwa na ma-boyfriend zake wengine hamkuandika? Kwa sababu ni Ray basi mkaona ni habari. Mimi ninavyojua Chuchu siyo mke wa mtu.
Kwanza mimi sijamchukua kutoka mikononi mwa mumewe kama mnavyosema. Chuchu tayari alikuwa na maisha yake mapya. Nilimchukua kutoka kwa Libert (hajafafanua zaidi ni nani). Mbona alivyokuwa na huyo Libert hamkuandika? Kifupi niacheni na maisha yangu.
RISASI: Vipi kuhusu Johari?
RAY: (Huku akikimbia kuingia uwanjani) Tena huyo mama yako (akimuonesha mwandishi Johari) anakuja.
Mwandishi wetu aliachana na Ray aliyekuwa akiingia uwanjani na kumfuata Johari lakini hakuwa tayari kusema chochote achilia mbali hata kumsikiliza mwandishi wetu!

TUJIKUMBUSHE
Hivi karibuni gazeti hili liliandika habari yenye kichwa MAINDA: NIMETOA MIMBA YA RAY. Ndani yake Mainda alifunguka mengi ikiwemo kuchanganywa kimapenzi na Ray, yeye na wenzake Johari na Chuchu Hans.
CREDIT:GPL
 
ana kabinti kazuri
livingstone+vs+chuchu+hans+%2812%29.jpg
 
baba ni huyu

livingstone+vs+chuchu+hans+%281%29.jpg

si mlaumu uyo chuchu sababu uyu jamaa toka aende kutafuta maisha Australia ajarudi adi leo yani ameshindwa kutafuta vikaratasi
yeye alichofanya ni kutuma pesa tu kitu ambacho hakisaidii sana matokeo yake mke wake pamoja na kutumiwa dolla akawa anakazwa na vijana wa mjini adi mmewe Frank akapata taharifa hizo
 
kumbe yuko AUS,...upweke nao ni hatari
 
Wabongo bana......kama kusoma hamjui si muangalie picha.

Miaka yote hiyo ughaibuni kama bado alimtaka huyo bibie si angemchukua wakaishi wote ?...hiyo ni aina nyingine tu ya kibuti mazee.

Ila Ray ataasili katoto kazuri.

............ila wenzangu nawapongeza kwa kutafuta data.....hizi nguvu tukiwekeza kwenye science tutafanikiwa kusafisha maji ya bahari na kuyafanya yatumike na binadamu...majumbani na mashambani......pia tutawauzia na nchi jirani wasio na access na maji ya maziwa na bahari.
 
apo kwenye red hiyo juhudi inabid tufanye mimi na wewe ili tupate maendeleo
 
Inakuwaje unaoa halafu unamwacha mkeo bongo?labda ungempa mimba ndio uondoke otherwise lazima apate replacement
 
Inakuwaje unaoa halafu unamwacha mkeo bongo?labda ungempa mimba ndio uondoke otherwise lazima apate replacement

tena unapotea zaidi ya miaka 10 eti unatafuta maisha unaona njia pekee ni kumtumia pesa .

hii lazima utasaidiwa tu na vijana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom