Nia Yangu ya Kumfungulia Mashtaka Pius Msekwa hapa Nebraska

una hela ya kuweka wakili , maana ccm milango ya kuchota hela yote imefungwa
Itabidi nikakushitaki na wewe kwa kujibu posting yangu. I feel thoroughly offended that intellectually challenged retards like you could come in here and write any BS simply because they can. :angry:
 
na SASA NA MSEKWA TUMCHAMBUWE NA ILE KASHFA YA TENDA YA'MATENGENEZO BARABARA YA NGORONGORO,MWAKA 2009 !AKIWA MWENYEKITI WA BODI YA MAMLAKA HIYO.ALIWAPA NYANZÁ ROADWORKS ZABUNI NA WAKATI SHIRIKA LILIKUWA NA VIFAA TENA VYA KISASA KULIKO HAO WAHINDI WA NYANZA ROADWORKS AMBAO WALITENGENEZA CHINI YA KIWANGO NA WAKATIA KIBINDONI MABILIONI YA FEDHA ZA WALIPA KODI.
 
Nadhani itakuwa safi na watu wajifunze kuwa maneno yanaweza kukuathiri na ukalipa gharama ya mdomo wako. kuna kesi mtu yuko mahakamni anadaiwa tsh 1 ya tanzania kama gharama ya mdomo wake. Mkuu kusanya ushahidi usiishie kuandika hapa halafu ukawa kimya
 
jamani mbona wote wanaomshambulia kichuguu ni hawa member wapya wapya tu, na wengine wa zamani kidogo lakini dont look regular members bse wana vipost vichache tu
 
Mkuu Kichuguu, kama unaijua historia ya Msekwa, uropokaji wake haukuanza leo. Huko nyuma aliwahi kumwaga machozi mbele ya Mwalimu siku alipobanwa kwa kuropoka ovyo. Naona umeamua kumliza tena mzee wa watu.
 
Mkuu kichuguu uwe na nia ya dhati, kumburuza huyu mzee kortini, kusanya ushahidi wa kutosha kumsambaratisha huyu PM. Hao wanaopinga jitihada zako nahic ndo wale walokunywa maji ya bendera ya chama cha magamba..
 
Usibaishwe. Mbele ya sheria watu wote ni sawa. ingawa hapa TZ sivyoilivyo ndio maana hawa wana-magamba wanaropoka ropoka kila mara.

Aidha, nashauri usije diriki kuwaomba hiyo video MAELEZO hao ni kama mbenelehi wao.

Alluta continua, usirudi nyuma katika hili, wengi tutaelimika!
 
This is just another un-winnable case should it make past JF. But then again what do I know? All I can do is just wait to be proved wrong.
 
This is just another un-winnable case should it make past JF. But then again what do I know? All I can do is just wait to be proved wrong.

Bro, you need not wait a single minute, but rather use your gray matter instead.

Picture this:

"United States District Court, State of Nebraska

Case# 12345678

Mbuzi Mee (Plaintiff) Vs Pius Msekwa (Defendant)".

Does it make any sense at all?
 
Nashukuru wale wote wanaonitia moyo, na vile vile wale wanaonikatisha tamaa kwa vile hao wananipa changamoto ya kuongeza makali kwenye kesi kusudi Msekwa ajue hasara za kuropoka hovyo. JF siyo kijiwe cha Kinondoni makao makuu ya chadema bali ni uwanja uliotapaa duniani kote. JF siyo Jukwaa la Siasa tu; kuna baadhi ya mada zinazojadiliwa hapa huwa na intellectual content kubwa sana kiasi kuwa huwa ninazitumia katika shughuli zangu za kila siku. Yeye kutamka kuwa hiki ni kijiwe cha CDM kunafanya nisiweze kutumia mijadala ya aina hiyo katika shughuli zangu za kila siku tena, na vile vile anadhalilisha image yangu kwa wale niliowahi kuwatuma wakasome mada fulanii katika kijiwe hiki. Kuna mambo mengi ya kisheria yanaendelea kuwekwa sawa juu ya kesi hii, na kama nilivyosema mwanzoni yakishakamilika nitawaarifu.
 
Bro, you need not wait a single minute, but rather use your gray matter instead.

Picture this:

"United States District Court, State of Nebraska

Case# 12345678

Mbuzi Mee (Plaintiff) Vs Pius Msekwa (Defendant)".

Does it make any sense at all?

The whole lawsuit idea is laughable. At least to me it is....
 
The whole lawsuit idea is laughable. At least to me it is....

This appears to be at best, a merit less suit at any US court of law if not a total waste of money and time for all parties concerned.

Fact is, the alleged "defamatory" statements made by Msekwa referred to Jamiiforums as a single entity i.e., a network of individuals, as opposed to any one particular (and possibly anonymous - albeit real) persons like Chakubanga, Zee Lao, Nyambaaf Pambaaf and so on and so forth, who may happen to be members of Jamiiforums. Au wewe unaonaje bro?
 
Is there any difference between JamiiForms as single entity and its members? Are you aware that JamiiForums is a member supported entity?
 
Is there any difference between JamiiForms as single entity and its members? Are you aware that JamiiForums is a member supported entity?

Definitely. Member supported or not: Jamiiforum is and will always remain a network made up of the sum of all its Members. And you Sir, are just one person among the many hundreds (or possibly thousands) of mostly anonymous individuals aka Members who, together, make up Jamiiforum.
 
Lets say that someone jumps and says CCM are stupid; will that be OK for Msekwa?
 
Lets say that someone jumps and says CCM are stupid; will that be OK for Msekwa?

I'm neither Msekwa nor Member of CCM, and therefore in no position to answer that kind of question. But what made you ask this particular question anyway?
 
I'm neither Msekwa nor Member of CCM, and therefore in no position to answer that kind of question. But what made you ask this particular question anyway?
The difference between defaming a member supported entity such as CCM or JF and defaming its individual members such as Kichuguu or Msekwa for that matter.
 
Back
Top Bottom