Nia Yangu ya Kumfungulia Mashtaka Pius Msekwa hapa Nebraska

Mkuu Kichuguu,
huu ni muendelezo wa ukombozi dhidi ya mkoloni mweusi. Kaza uzi tupo pamoja mkuu mpaka wanyooshe mikono yote juu
 
Itabidi um-convince hakimu through objective, conclusive evidence, exactly how, why, who, when, kwamba Pius Msekwa

[amekuvunjia] sana heshima [yako] mbele ya wenzangu kwa kunipa image ya kuwa [wewe] ni mpiga propaganda wa CHADEMA.
Kwa hiyo utahijtaji ushahidi zaidi ya sound bites, video and newspaper clips etc. That being said, the whole deal sounds just too frivolous and far fetched. Ungekuwa serious usingekuja humu na kutangaza hiyo "nia" yako.
 
Wenye video clip ya hayo maneno mpeni kichuguu ili kuongeza ushahidi na kama state ya Nebraska itaweza kum-subpoena hata kama hatatii hiyo amri lakini italeta heshima jamiiforums kwasababu waropokaji wengine wataanza kuogopa kutoa maneno yasiyokuwa na mbele wala nyuma. Legal Damaging ya kesi kama hizi huwa kubwa sana.

Ieleweke kuwa kichuguu anahaki ya kulalamika (kama mwanachama wa JF) kwasababu jamiiforums iko registered godaddy.com (US company) na vilevile iko-hosted kwenye server za Chicago (US). Kutokana na federal laws sites zozote zilizokuwa registered/hosted US zinalindwa na sheria za Marekani. Kama mtu yoyote atafanya attack (cyber/damaging yoyote kama false claims) kwenye website hizo basi anaweza ku-sued.

Did you mean that he/she can be sued?
 
Wee!! utamfunguliaje Msekwa kesi huko Marekani? Au unataka tujue unakaa Marekani?
 
To start with, mtu utawezaje ku-prove madai ya "kuvunjiwa heshima mbele ya wenzako" wakati unatumia jina bandia na watu hawakujui? This is way too silly, wajameni!
 
Napata mashaka kama Bwana Kichuguu alisha wahi hata kufika marekani! Pamoja na maelezo yako kwa upande mwingine inaonekana kuwa Mwanachama wa Chadema ni aibu na fedheha! Pia unachangaya kati ya Kuishitaki CCM au Msekwa! Huyo mwanasheria wako naona mnafanana akili!
 
Hii kesi itakuwa ngumu kwa upande wako mwana JF

Itabidi kwanza uithibitishie mahakama kwamba wewe ni muathirika,lakini kabla ya hiyo itabidi uthibitishe kwamba wewe ni mtumiaji wa huu mtandao wakati unalo jina lako la kisheria hapa unatumia nick name kwahiyo hata mimi ningeweza kujifanya wewe

Angalia tu isije kukurudia ikakutokea puani.
 
Napata mashaka kama Bwana Kichuguu alisha wahi hata kufika marekani! Pamoja na maelezo yako kwa upande mwingine inaonekana kuwa Mwanachama wa Chadema ni aibu na fedheha! Pia unachangaya kati ya Kuishitaki CCM au Msekwa! Huyo mwanasheria wako naona mnafanana akili!

Ndege wa rangi moja...
 
Ngabu, let Miafrika dare for once... ain't it good trying to be on top of the 'ndivyo tulivyo' syndrome?!

Okay, I'll shut up and watch. But I am keeping count. So far we have Superman (not sure how far he has gotten with his) and Kichuguu.
 
komba avatar kesi iko USA aje bongo kufanya nini na watu wanaweza kumtumia, au ndio mambo ya kikwete kupanda ndege kwenda kuomba vyandalua kwa bush, na hiyo kasi kama hakisema aje bongo majaji watachakachua tu,kwa sehema hiyo ni siasa
Itabidi um-convince hakimu through objective, conclusive evidence, exactly how, why, who, when, kwamba Pius Msekwa

Kwa hiyo utahijtaji ushahidi zaidi ya sound bites, video and newspaper clips etc. That being said, the whole deal sounds just too frivolous and far fetched. Ungekuwa serious usingekuja humu na kutangaza hiyo "nia" yako.
 
wewe ndiye unashituka na hiyo marekani, kwa sababu umebanwa mbavu na ccm, ujawai kufika hata MORO, kuna wachangia wenye sana hapa wanatafuta maisha nje ya nchi, kwa hiyo mtu kusema haliko sio issue, na kama ina kuuma basi husihungulie profile za watu unaweza kuchoma ofisi zote za ccm
Wee!! utamfunguliaje Msekwa kesi huko Marekani? Au unataka tujue unakaa Marekani?
 
we kaaunapiga vuvuzela tu hapo, kama DOWANS, walishinda kasi hii nyenye ushahidi ma-lawyer wa msekwa watatoboa kweli, omba mkuu abadilishe mawazo la siyo huyo mzee wetu analo, anaweza kushitakiwa yeye binafsi na chama maana hawajakanusha hizo kauli za msekwa alipokuwa anaongea kama makamu mwenyekiti
Napata mashaka kama Bwana Kichuguu alisha wahi hata kufika marekani! Pamoja na maelezo yako kwa upande mwingine inaonekana kuwa Mwanachama wa Chadema ni aibu na fedheha! Pia unachangaya kati ya Kuishitaki CCM au Msekwa! Huyo mwanasheria wako naona mnafanana akili!
 
komba avatar kesi iko USA aje bongo kufanya nini na watu wanaweza kumtumia, au ndio mambo ya kikwete kupanda ndege kwenda kuomba vyandalua kwa bush, na hiyo kasi kama hakisema aje bongo majaji watachakachua tu,kwa sehema hiyo ni siasa

Itabidi nikakushitaki na wewe kwa kujibu posting yangu. I feel thoroughly offended that intellectually challenged retards like you could come in here and write any BS simply because they can. :angry:
 
To start with, mtu utawezaje ku-prove madai ya "kuvunjiwa heshima mbele ya wenzako" wakati unatumia jina bandia na watu hawakujui? This is way too silly, wajameni!

We mwanajeshi gani unashangaa jina 'kichuguu' wakati kuna majina ya MAPUNDA, KOMBA, KAMANA, MBORO, MBAWALA, MANENO, SIJALIU na mengine mengi.
Isitoshe kisheria nafikiri unaweza kuhalalisha a.k.a name yako kwa 'deed poll' (kama sijakosea terminology) na ikwa poa tu kulikatia driving license na mengineyo.
Chenye mantiki hapa ni mkuu kichuguu kadhalilishwa na matamshi ya PM na anayo haki ya kuelezea kero yake na ni haki yake aende mahakamani ili yule babu asiyejua nini maana ya kustaafu ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Angalau pesa za kifisadi ziondoke kwa njia hiyo - najua kutetea kesi Marekani si lele mama.
 
kichuguu tuko nyuma yako fanya kwelikweli, ili umkomeshe huyu msema ovyo wa ccm
 
Back
Top Bottom