Nia ya rais r. Mugabe kubaki madarakani mpaka kufa

Prisoner

Senior Member
Jan 26, 2010
119
0
Wakati akiadhimisha miaka 86 ya kuzaliwa wachambuzi wanasema Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ana nia kubaki madarakani mpaka kufa. Source VOA. sasa hii wandugu imekaaje je Tanzania Mh. Rais Jakaya Kikwete akishughulikia Mafisadi tumpe ridhaa mpaka kufa kwake. Maana yeye Mh.Rais Kikwete anaogopa akimaliza muda wake huku amewashughulikia Mafisadi watamfungulia mashtaka.
 
Mkuu ukweli ni kuwa Papa Mugabe hataki kun'gan'gania madaraka. Tatizo ni kuwa ni nani atakayechukua madaraka badala yake? na akichukua future ya Mugabe itakuwaje? hili ndio tatizo. Ana hela za kutosha kula hadi kufa kwake, ana bonge la jumba Hong Kong na UK, what more would he need?

Ameua watu wengi ametesa watu wengi na amewaletea maumivi watu wengi, ili kukwepa adhabu ni better kufia madarakani. Hata mimi ningekuwa muuaji ningen'gan'ania madarakani.

Jamaa mmoja huko Turkey alikuwa mjanja sana, baada ya kuingia madarakani tu cha kwanza alichoanza kufanya ni kuhakikisha magereza yanakuwa katika hali nzuri na wafungwa wanakuwa na huduma nzuri. The reason behind was, he knew after his presidency he will go to jail. Tatizo ni kuwa Mugabe may not go to jail, but will go to hell.......ndio maana anaogopa kuachia madaraka.
 
...i think this man will stop a bullet on his head or chest before he realises his dream as a life president of Zimbabwe.

Kimya cha wazimbabwe kina mshindo mkuu. We mwache tu!! Pambaff!!!!
 
i sympathises with his land redistribution plan and industries to be owned by with majority shares by zimbabwean, i am pro socialist but the thing that puzzling me is his extravagant life, wealth accumulation and the most important one is why now? why didnt he do this recently after uhuru?
 
Wakati akiadhimisha miaka 86 ya kuzaliwa wachambuzi wanasema Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ana nia kubaki madarakani mpaka kufa. Source VOA. sasa hii wandugu imekaaje je Tanzania Mh. Rais Jakaya Kikwete akishughulikia Mafisadi tumpe ridhaa mpaka kufa kwake. Maana yeye Mh.Rais Kikwete anaogopa akimaliza muda wake huku amewashughulikia Mafisadi watamfungulia mashtaka.
Watamshataki kwa sababu aliwashughulikia tu ??? Nini itakuwa jeuri yao hao mafisadi wakati huo???
 
Back
Top Bottom