cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Tuachane na propaganda sasa,tangu Uhuru nchi yetu imekuwa inaongozwa na wataalam kutoka fani kama za ualimu,wandishi wa habari na nk
Pamoja na juhudi zao hakuna linaloendelea katika sekta ya uchumi hasa,viwanda,biashara,na kilimo
Sasa basi ni muda mwafaka tukabadili mawazo,ili nchi hii ipige hatua,tunaomba tumchague mfanyabiashara awe Rais wa Tanzania
Faida ya mfanyabiashara, anajua njia mbalimbali za kuwekeza,kukuza mitaji,kufanya kilimo kiwe cha kibiashara,na nchi hii inaweza ikawa viwanda,mfanyabiashara ana uchungu wa kutafuta,kuingiza kuliko kutoa
Ni muda mwafaka kuwakabidhi wafanyabiashara hii nchi
Hata Industry revolution ya England ilifanywa na wafanyabiashara
Hii tengua tengua,haitatutoa hapa tulipo