yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
Mliingia kwa mbwembwe kwamba Jiji letu sasa liko chini ya Upinzani na mtaleta mabadiliko makubwa, ni yapata mwaka sasa na zaidi, Je kuna kipi cha kutuonyesha?
Kuna badiliko gani jijini kwetu ambalo unaweza kusema limeletwa na uongozi wa chadema/ukawa?
Sio tuanze na ninyi mnaoongoza Taifa , mpaka sasa mmesha Fanya lipi , na Taifa linateketea kwa chuki , visasi na njaa shilingi inadorora siku hadi siku watu hawaoni viwanda mnafoji vyeti tuu nyambafu
Mnapenda kuuza sura kwenye magazeti daily