Ni zaidi ya mwaka sasa, Mameya wa CHADEMA mna kipi cha kutuonyesha?

Meya siyo serikali. Na isitoshe mameya wakitaka kupata msaada nje wanavurugwa na bashite kwa mipango ya Mkuu. Kila afanyanyo mayor linaingiliwa. Nchi nyingine wapinzani wakishinda wanaweka viongozi wao wakiwa pamoja na RC, RC, madiwani, mameya, etc.
 
Mliingia kwa mbwembwe kwamba Jiji letu sasa liko chini ya Upinzani na mtaleta mabadiliko makubwa, ni yapata mwaka sasa na zaidi, Je kuna kipi cha kutuonyesha?

Kuna badiliko gani jijini kwetu ambalo unaweza kusema limeletwa na uongozi wa chadema/ukawa?
1. Rambirambi za tetemeko Bukoba
2. Mapato ya majengo na ushuru
kukusanywa na TRA
 
Meya siyo serikali. Na isitoshe mameya wakitaka kupata msaada nje wanavurugwa na bashite kwa mipango ya Mkuu. Kila afanyanyo mayor linaingiliwa. Nchi nyingine wapinzani wakishinda wanaweka viongozi wao wakiwa pamoja na RC, RC, madiwani, mameya, etc.

Sasa kwa nini walikuwa wanatuahidi Mbingu kama walijua wao siyo Serikali? Makelele yote yalikuwa ni ya nini kwamba Jiji liko chini ya ukawa tutaona kazi ya ukawa?
 
Mliingia kwa mbwembwe kwamba Jiji letu sasa liko chini ya Upinzani na mtaleta mabadiliko makubwa, ni yapata mwaka sasa na zaidi, Je kuna kipi cha kutuonyesha?

Kuna badiliko gani jijini kwetu ambalo unaweza kusema limeletwa na uongozi wa chadema/ukawa?
Waonyeshe nini kwani wapo huru kufanya kazi? Madiwani wengi ni wa ccm wanawahujumu sana na bashite Daud mda mwingi anabuni mbinu za kuwadhoofisha ili kumfurahisha mwenye PhD ya kisukuma, kule Kinondoni yupo meya ccm kaleta maendeleo gani?
 
Meya siyo serikali. Na isitoshe mameya wakitaka kupata msaada nje wanavurugwa na bashite kwa mipango ya Mkuu. Kila afanyanyo mayor linaingiliwa. Nchi nyingine wapinzani wakishinda wanaweka viongozi wao wakiwa pamoja na RC, RC, madiwani, mameya, etc.
Nchi zipi kwa mfano, hebu rud kwenye mada,

Taja hata badiliko moja tu mlilofanya la kuongeza tija. Hebu liseme. Kuwa pamoja na kubanwa kuna kitu kimoja mmekifanya, ukitaje, kipi hicho. Tukiwaambia uongozi sio lelemama hamuamin.

Uongozi sio lelemama wanazopiga akina halima mdee bungen. Ku deriver sio kitu cha mzaha.

Yaan ningekuwa maamuzi yangu kuna wabunge kutoka chadema ningewapigania warudi bungee, Kama profesa J, mbunge wa Arumeru, Nasari, na wengine ambao wako comited na kutatua kero za wananchi wao lakin huyu halima, lema, yule mbunge wa rombo, mnyika, sugu, na wengine wa hivo hawatakiwi kabisa kurudi bungeni, watoe nafasi kwa watu wenye uwezo wa Kutatua kero za wananchi.

Wakati wa kupoteza muda umepitwa na wakat. Tumien rasilimal mlizonazo kutatua kero za wananchi. Achen blabla.
 
Mliingia kwa mbwembwe kwamba Jiji letu sasa liko chini ya Upinzani na mtaleta mabadiliko makubwa, ni yapata mwaka sasa na zaidi, Je kuna kipi cha kutuonyesha?

Kuna badiliko gani jijini kwetu ambalo unaweza kusema limeletwa na uongozi wa chadema/ukawa?
Watafanya nini na wametiwa pingu na serikali ya CCM,iliyomleta dar bashite akoroge mambo.badili ya meya aliyechaguliwa na wananchi,CCM imebadilisha utawala na kutawala kimezengwe,hata hayataki tochi,yapo wazi,CCM wamemwaga sera za utekaji.
 
Meya siyo serikali. Na isitoshe mameya wakitaka kupata msaada nje wanavurugwa na bashite kwa mipango ya Mkuu. Kila afanyanyo mayor linaingiliwa. Nchi nyingine wapinzani wakishinda wanaweka viongozi wao wakiwa pamoja na RC, RC, madiwani, mameya, etc.
Yani kwa povu hili ni dhahiri hakuna kitu mameya wamefanya kwenye jiji letu,naona malalamiko tu badala ya hoja
 
Back
Top Bottom