Ni yupi mshamba zaidi kati ya hawa wafuatao

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,909
2,477
1) Aliekwenda dukani kuulizia bluetooth.

2) Aliekula hotelini vyombo akaosha.

3) Alienunua chockstick akaitia kwenye mkoba.

4) Aliemuamkia mtu aliyeko kwenye TV.

5) Aliechukua pande la barafu na kuliangalia wapi linavuja.

6) Aliyemuamsha mgonjwa ili ampe dawa ya usingizi.

7) Anayepunguza sauti ya radio ili asome sms.

8) Anayeenda na spana benki ili akafungue account.
 
Ni yule aliepost ujinga ktk jukwaa tunalotoraji kupata vitu vyenye akili.
 
Kuna sms nyingine ni very sensitive, hivyo unasoma pamoja na kutafakari kwa kina kama vile unakokotoa maths, mm namtetea namba 7
 
1) Aliekwenda dukani kuulizia bluetooth.

2) Aliekula hotelini vyombo akaosha.

3) Alienunua chockstick akaitia kwenye mkoba.

4) Aliemuamkia mtu aliyeko kwenye TV.

5) Aliechukua pande la barafu na kuliangalia wapi linavuja.

6) Aliyemuamsha mgonjwa ili ampe dawa ya usingizi.

7) Anayepunguza sauti ya radio ili asome sms.

8) Anayeenda na spana benki ili akafungue account.

mshamba ni wewe ambaye huwezi hata kutofautisha washamba na wajinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom