Ni yapi Majukumu ya BAKWATA?

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,352
1,428
Kwanza nitangulize tahadhari sina nia ya kukashifu dini yoyote wala kufanya uzi huu sehemu ya malumbano

Si kwamba nataka kuyaelezea majumu hayo la! Bali nataka mniambie ni yapi maana naona kama nielewavyo mimi sivyo

Kuna hiki chombo kilichojipa mamlaka ya kusimamia waislam Tanzania (nina maana kusema kimejipa)

Chombo hiki kipo lakini

- Sijawahi kusikia hata waislam wakipitiwa nyumba hadi nyumba kuhusu zaka

- Sijawahi kusikia wamejenga miundombinu ya kijamii (kama shule vituo vya afya na benki

- Sijawahi kusikia hata siku wakitolea ufafanuzi kuhusu migongano mbalimbali ya watu (hasa kati ya (watu wa) serikali na wananchi)

-Sijawahi kusikia hata siku kuhusu takwimu za waislam (miundombinu, idadi ya watu, hali zao na makazi yao)

- Na kadhalika na kadhalika

Yaani kuna watu huyo kiongozi mkuu wa BAKWATA tu wanamjua ikifika "kesho kufunga" au "kesho idd"

Hii haijakaa poa kabisa!
 
Walinishangaza msaada wa Mfalme wa Morocco badala hata wangesema Hospitali au University wao sijui waliwaza nn
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom