Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Haya hapa una jingine tena

9328AF0F-1E66-437C-9ED0-85C29CC3FEE2.jpeg
 
Sifa kubwa ya kocha wetu ni kuishusha daraja Getafe.

CEO ametuletea kocha wa mchongo
 
Ingia hata wiki hapo... uliza msimu wa 2014/15, 15/16, 16/17 utaona taarifa kamili.
Watz kwa kudanganyw kijinga bhana.
We kichwa majj ingia kwenye hii link usome kama huwezi kusoma omba usaidiwe

 
Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI...
Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kwote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France....
Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu View attachment 2001243
Unataka ugundue nini?

Uto
 
Back
Top Bottom