Ni ya kichina

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Dada alipewa ujauzito na mchina.
Baada ya miezi tisa alijifungua na miez mitano baadae mtoto alifariki.
Mama:nilijua,nilijua,nilijua!
Watu:ulijua nini?
Mama:Bidhaa ya kichina.
Watu:kivipi
mama:Bidhaa ya kichina haidumu.
 
Natoa Tamko: Mwambie arudi kwa mchina alengeshe vizuri.. ataweka orijio..end.
 
Kwa kuwa huelewi huenda nawe wa kichina na muda wako umekwisha wa kuelewa.
 
Back
Top Bottom