Kuna ngoma flan ya Godzilla, nakumbuka sehemu flan anaimba...

Hata kama mi ni star
Im suppose to be the same.

Msaada tafadhali
 
Wakuu! Natumaini mu wazima

Nina shida na kwaito "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii.

Nimefanikiwa kupata ngoma moja tu "Ndifuna wena"

Naomba nisaidiwe majina ya hizo Kwaito/artist

Kumbuka: Zilizosumbua Bongo hivi karibuni
 
Arthur _Zombo
 
Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
Ninao
 
Wakuu kwema

Naomba nyimbo zifuatazo either majina ya mwimbaji au jina la wimbo

"Kama dada wanipenda, kaninunulie zeze nikilala kitandani, zeze lanibembeleza. Aaah amina choma choma kubaya, choma choma mmeo"

Nyingine inaimbwa "nina mdodo wangu eeee...
Naangusha moja moja leo...
Inama inuka ooo....
Naangusha moja moja leo"
 
Kwa wasikilizaji wa Radio free africa kipindi hicho kila jumapili kulikuwaga na kipindi kinaitwa Indian style

Kuna wimbo ulikuwa ukitumika background, nimeattach namna ulivyokuwa ukiimbwa tafadhali anayejua jina la wimbo au mwenye nao naomba.

Natanguliza shukrani
 
Attachments

  • Indian.m4a
    638.5 KB · Views: 73
Wakuu kwema

Naomba nyimbo zifuatazo either majina ya mwimbaji au jina la wimbo

"Kama dada wanipenda, kaninunulie zeze nikilala kitandani, zeze lanibembeleza. Aaah amina choma choma kubaya, choma choma mmeo"

Nyingine inaimbwa "nina mdodo wangu eeee...
Naangusha moja moja leo...
Inama inuka ooo....
Naangusha moja moja leo"
Twanga pepeta_password
 
wakuu
natafuta wimbo wa zilioendwa jina la wimbo na bendi
unaimbwa hivi
mama nipe nauli nikamtafute monica amekimbilia zambia na madeni ya watu
kisa cha kukimbia madeni yamemzidi doti 10 za kanga alizokopa hajalipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom