Wimbo Wa kitambo sana sijui waliimba nani una maneno CHAWA NA PANYA WALIISHI NYUMBA MOJA! Naombeni tafadhali
 
Mwenye full video ya Hawa waimbaji naomba au hata km ni audio naomba msaada wa kuipata.
 
wahenga natafuta jina la wimbo ameimba mdada sijui nani
anaimba hivi
mabwana wananitamani mimi sitaki tokea tangu zamani mm sitaki
kiitikio
ooh dada mapenzi ya pesa sio mazuri
nilikutongoza dada nawe ukakubali
 
Habari wakuu natafuta nyimbo moja ya zamani inapigwa sana kwenye maharusi

Ina mashairi

"..Wanakijiji mulie mulie mulie wanakijiji mulie mume wangu ni kizito.."

Halafu inachanganya na kilugha

Natanguliza Shukrani....
 
Naombeni mnisaidie kupata wimbo unaitwa
Ole Ola- by James Kaleth&Bob Mitchell & Jez Pike

Album -Ibiza Guitar

Nimeenda YouTube haupo na nimetafuta Google kila ninakopita sipati mahali ambapo upo free,yaani ni lazima uununue.
Nakumbushia tena wadau,nitaupataje?
 
Habari wakuu, kuna ngoma flani ya snoop dogg, ambao beat lake ndio lile joti aliloimbia LAKUCHUMPA LA KUMPARAMA
 
Nisaidieni nyimbo hizi za dini wakuu;
1-Kwa nini wasimama mbali ya katoliki
2-Mungu wangu mbona umeniacha ya katoliki
3-Navumilia ya katoliki
4-Chenga ya mwili ya katoliki
 
natafutawimba wa duni ameimba Beatrice muhone
anaimba hivi
hakuna rafiki kama yesu
yu pekee yu pekeee
 
Wakuu! Natumaini mu wazima

Nina shida na kwaito "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii.

Nimefanikiwa kupata ngoma moja tu "Ndifuna wena"

Naomba nisaidiwe majina ya hizo Kwaito/artist

Kumbuka: Zilizosumbua Bongo hivi karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom