Kuna wimbo fulani hv nautafuta sikumbuki jina lake ila ulitoka kwny maadhimisho ya uhuru nahisi kwnye maadhimisho ya karibuni kama 2020,019,018>2015 ni wa mwishomwisho tu nisaidieni
 
Namtafuta WIMBO unaimbwa hivi
Kwako sikikii baby baby why nini kijacho kusumbua maumivu mateso yakwako yananikisesha hata raha
 
masela bomba mademu bomba ndani ya weekend DAR ES SLAAM BY NIGHT JOAN KAITIKIA WALICHANA MASELA FLANI HIVI


aliyepata Hii nyimbo wakuu Naiomba
 
Jamani kuna nyimbo ameniambia msanii DI'JA wa nigeria kutoka label mavin. Wimbo unaitwa awww. Katika wimbo huo katika chorus ametumia melody ya wimbo mmoja wa blues maarufu ..ila siukumbuki. Naomba mnikumbushe mkuu.
 
Habari natafuta nyimbo za mwanamama Rehema Tajiri moja inaitwa penzi la uongo na nyingine inaitwa sina la kusema Kwa penzi lako
 
kuna kibao kimoja cha miaka ya 90 mwanzoni sjui aliimbaga nani. kuna hook inaimba "MKE WANGU MI MLEVI ANANUKA POMBE".
ikipatikana ntashukuru sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom