Tunaufaham, tatizo haupatikani. Ile remix yake ilishatupiwa humuJAMAN,HV MEMBER WOTE HUMU KWELI HAMUUFAHAM WIMBO WA AFANDE SELE UNAOITWA UMEONDOKA AMBAO ALIIMBA DITO NA NASH G!!!!!
Na BuzMan Kwa Mbaali, Asee Nakutumia Kesho Kaka... Mapema TuJAMAN,HV MEMBER WOTE HUMU KWELI HAMUUFAHAM WIMBO WA AFANDE SELE UNAOITWA UMEONDOKA AMBAO ALIIMBA DITO NA NASH G!!!!!
Na BuzMan Kwa Mbaali, Asee Nakutumia Kesho Kaka... Mapema Tu
huyu jamaa namkumbuka kwa jina Jimmy jamal lakini nmejaribu search Google bila majibuUnao Huu wimbo mzee Unitumie?
Oii Oii... Enjoy Mzee,, Hii Ngoma Niliitafuta miaka 7 Nyuma... Juzi nimekuja Ikuta Kwa Jamaa Ambaye Hanaga Mda Na Mziki Kabisa
Ester wasira-sheilaView attachment Sheila - Ester Wasira.MP3Wadau niajee kuna nyimbo naitafuta bila mafanikio jina la mwimbaji limenitoka kidogo ila nakumbuka baadhi ya mistari
"Sheila sheila nimekutuma kwani moyo waniuma penzi langu linawakati gani nimempata wa bahat wengi wapo wanaokupenda niachie huyu aliyenipenda sheilaaa ooooh sheilaaa"
zawadi
Ukwap? Nione Link...zawadi
Hii inawezekana sijaeleweka wadau? Ni wimbo unapigwa mara kwa mara inawezekana ni mwaka jana ama mwaka huuKuna wimbo mpya huwa jamaa anaimba vizuri sana ni mpya lakini ni kama wa kifaransa hivyo hata kujua jina imekuwa ngumu...ni kama kwenye chorus wanamalizia na ...bon a saan...bon a saaan...tutaata tutataaa...bon a saan...boon a saan