CAPUCHIN BAND ya Moro kama sikosei; wimbo wao unaimbwa EWE MWILI WANGU SIJUI LINI NITAJITENGA NA WEWE
 
Jamani naombeni ule wimbo jamaa kawatoa kafara wazazi wake wa bongo fleva sjui jamaa anaitwa kambi
 
Wadau kuna Song la Mr. 2 (II Proud) ft Mr. Paul,
Linaitwa Yoyote, Popote. Song hili Chorus alipiga Mr. Paul, sio lile alilopiga Mr. 2 mwenyewe.

Mwenye nalo msaada please
 
Wakuu mwenye nyimbo za rama dee.. sara na nyinginezo zilizopo kwenye hyo albamu
 
Habar wakuu.
tafadhali naomba nyimbo za Complex zile za hiphop za kitambo.

shukrani
 
Mkuu hata mimi naihitaji ukipata tafadhali una-tag. Ile tune hata kwenye mahafali ya vyuo vikuu huwa inapigwa.
Mkuu mij natafuta nyimbo kama tatu hivi.
1. Wakati umelala ameimba Mwana FA amewashirikisha Jose Mtambo na Mangustino
2. Mtumishi wako ameimba Mike Tee amewashirikisha Mwana FA na Banana Zorro
3. Nieleze wa Banana Zorro.
4. Niamini wa Banana Zorro.
Nimezitafuta sana hizi nyimbo bila mafanikio. Msaada. Utani tag au utani PM ukizipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom