Kuna wimbo uliombwa sana aliimba banza stone unaimbwa hivi hata ukoo sina sina ndugu wa damu hata ukoo sina sina ubini sijui mzaramu wala mmakonde sijui jina lake mwenye nao please

Huu wimbo unasumbua sana, nishaomba majukwaa mbalimbali bila mafanikio na kwanza wengi hawaujui.

Cha kwanza tungepata jina ingekuwa rahisi!
 
Kuna wimbo wa vijana wa bongo flavour,
Beat yake kama ya davido na chris vrown ile blow my mind,anaejua jina,thanks in advance.
 
Mwenye wimbo wa Master bros kutoka kundi la Zumba Gang (Morogoro) unaoitwa nini maana ya maisha nauomba
 
Wakuu mwenye nyimbo za offside trick zifuatazo anisaidie
Umenitosa mashairi yake ni imenibidi mi niseme aaaaah kwamba umenitosa x3
Na mwingine unaimbwa hivi mwenzenu mi sikupenda niwe hivi ila mola kaniumba na dhiki nachukuwa na ndg na marafiki sijui mi nitakuwa mgeni wa nani
Pls msaada wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom