OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,127
- 24,064
NASH MC -baada ya chuo
Angalia vizuri ipo juujuu hata haipo mbaliNASH MC -baada ya chuo
Haaaaaa hao sikinde mkuu ngoja niuchek Kama upo au niliufutaHabari wakuu
Naomba mwenye wimbo una mashairi ya mwanzo yanasema "Asante kunizalia mtotoo, mtoto mtoto wa kiume" Sijui umemwa na nani?
Sorry mkuu Ni DDC mlimani park ....Leo furahaHabari wakuu
Naomba mwenye wimbo una mashairi ya mwanzo yanasema "Asante kunizalia mtotoo, mtoto mtoto wa kiume" Sijui umemwa na nani?
DDC mlimani park ....Leo furaha
Asante kunizalia mtotoo, mtoto mtoto wa kiume" Sijui umemwa na nani?
Huu mwimbo na mm naupenda sana yaan nmeingia huku ili niuombe huo wimbo vp umeupata mkuu
Kuna wimbo uliombwa sana aliimba banza stone unaimbwa hivi hata ukoo sina sina ndugu wa damu hata ukoo sina sina ubini sijui mzaramu wala mmakonde sijui jina lake mwenye nao please
Shukrani mkuuNi wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ngoni Tribe-Manungayembe Humu upo ila sijajua ni post no ngapi kwa mwenye nao tafadhali atupie humuwww.jamiiforums.com
Hivi wimbo wa Bantu MC's unaitwa Tangazo umekosekana kabisa?
Jaman hii nyimbo nahiitaj sana O ten mkuu Wa mkoa/ Kamishina.....
Kanunue ulbumNaomba ngoma za Nash mc NAANDIKA,DIRISHA LA USAJIRI,MWALIMU MASHAKA