Habari wana JF? Kuna wimbo mmoja wa Ray C nautafuta, una mstari huu "Ni sasa, sio jana, ni wakati wa kushirikiana". Naomba mwenye nao anisaidie.
 
Habari zenu wadau mm natafuta nyimbo zifuatazo:kusema sema rmx, laila na ukweli hizi nyimbo zimeibwa na band ya chuchu sound, pia kuna nyimbo za mchinga sound zinaitwa:kidomo domo na nguzo tano za mapenzi, nyingine ni ya juma kakere inaitwa ndoa ya lazima ipo katika album yake ya betty:na wimbo wa mwingine ni wa Adolph mbinga unaitwa neema rmx aliuimba na marehemu ramadhani masanja(banza stone)roghati hega (katapila)na joniko flower(maua)nakumbuka hz nyimbo miaka ya 2000 zilikua zinapigwa sn radio one naomba sn kama nikizipata nitafurahi sn
 
hiyo neema rmx nimeomba sana hapa naona upatikanaji wake ni mgumu sana
 
Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom