HIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.
Ipo youtube andika miss tanzania
 
Kuna wimbo nautafuta, sikupata kujua umeimbwa na nani. Nilikuwa nikiusikia sana radio Kiss fm. Chorus yake yaimbwa, "kuanzia TZA, TZB mpaka C..sina hata taksi..sina hata taksi..." Mwenye nao tafadhali.
 
Nafikiri aliimba Chindoman
Kuna wimbo nautafuta, sikupata kujua umeimbwa na nani. Nilikuwa nikiusikia sana radio Kiss fm. Chorus yake yaimbwa, "kuanzia TZA, TZB mpaka C..sina hata taksi..sina hata taksi..." Mwenye nao tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom