Asante mkuu, kama unayo hohehahe ya swahili by nature au kitambo kidogo ya Bdp au tumbo deni la dunia ya Uswahilini matola weka pia.
 
Ngoja niweke mashairi Kwanzaa song linaanza au linaelezea jamaa anaenda kwa mganga apate utajiri ila mganga anamwambia awaue wazazi wake jamaa linakubali baadae mambo yanamuendea kombo plus mawazo anaanza kulewa

Shairi ninalolikumbuka ilikuwa bongo flavor ya kipindi hicho

Pesa na majumba, ni vitu vya kutafuta
Usifanye wewe pupa, utakuja kuvikuta
Ona baba yako umemzka, huna huruma na mama yako mume mzma,
Sasa umebaki ohii

Lengine linasema
Mganga kamwambia, awaue wazazi wake ili apate hzo pesa zake
Akasema yeye hawezi kwani wao ndo tegemezi

Anaekumbuka tafadhali
 
Wakali Kwanza NIITE BASI REMIX ile wanatamani me nushuke niwe chini yao....Pia kuna ike nyimbo ya Kofi siijui jina lakini inaimbwa Nanga Nanga Bolelangaaaa mwanamama aaaaah mwana Mama aaaah....Tamu tamuuu tamuuuuu, siijui tu inaitwaje nikiijua title nahisi nitaipata
 
Ngoja niweke mashairi Kwanzaa song linaanza au linaelezea jamaa anaenda kwa mganga apate utajiri ila mganga anamwambia awaue wazazi wake jamaa linakubali baadae mambo yanamuendea kombo plus mawazo anaanza kulewa

Shairi ninalolikumbuka ilikuwa bongo flavor ya kipindi hicho

Pesa na majumba, ni vitu vya kutafuta
Usifanye wewe pupa, utakuja kuvikuta
Ona baba yako umemzka, huna huruma na mama yako mume mzma,
Sasa umebaki ohii

Lengine linasema
Mganga kamwambia, awaue wazazi wake ili apate hzo pesa zake
Akasema yeye hawezi kwani wao ndo tegemezi

Anaekumbuka tafadhali
Anaitwa KAMBI -Pesa na majumba huo upo youtube
 
Samahani...... Kuna wimbo nautafuta umesikika kwenye movie ya DAR TO LAGOS ya marehemu Stephen Kanumba wakikiwa kwenye ndege wanarudi Tanzania inaimbwa "Narud nyumbani, kwetu nyumbani hii, Nmemkumbuka Baba yangu mpendwa" Naomba mwenye nayo au anaejua nani kaimba anisaidie
 
HIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.
 
MWENYE NYIMBO ZA PAULINE ZONGO, WALIMWENGU_NAJUTA_KAMA WANIPENDA_DUNIA.
ANITUMIE AISEE NAMKUBALI SANA PAULINE ZONGO.
 
HIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.
HUO WIMBO UPO YOU TUBE
 
Nisadieni ngoma moja ameshilikishwa steve kabuye inaitwa TANGAZO nahisi kama na bandago yumo nyingine jina nimesahau na muimbaji nimemsahau kiitikio kinasema "wacha part wee ngoma lipigwe watu wacheze wacha part iendelee"
 
Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom