wimbo :sinyorita
muimbaji simfahamu ila lugha iliotumika ni kiswahili
Mwenye wimbo wa "nimepamiss home" wa mwanachemba Dark Master.
Wimbo wa Kanisa la Menonite Ukonga Dsm.Kuna wimbo kibwagizo chake husema 'kama sio juhudi zako nyerere"nimeutafuta sana huu wimbo/kibwagizo... Msaada tafadhali.
Anaitwa KAMBI -Pesa na majumba huo upo youtubeNgoja niweke mashairi Kwanzaa song linaanza au linaelezea jamaa anaenda kwa mganga apate utajiri ila mganga anamwambia awaue wazazi wake jamaa linakubali baadae mambo yanamuendea kombo plus mawazo anaanza kulewa
Shairi ninalolikumbuka ilikuwa bongo flavor ya kipindi hicho
Pesa na majumba, ni vitu vya kutafuta
Usifanye wewe pupa, utakuja kuvikuta
Ona baba yako umemzka, huna huruma na mama yako mume mzma,
Sasa umebaki ohii
Lengine linasema
Mganga kamwambia, awaue wazazi wake ili apate hzo pesa zake
Akasema yeye hawezi kwani wao ndo tegemezi
Anaekumbuka tafadhali
Anaitwa KAMBI -Pesa na majumba huo upo youtube
Ckumbuk vzur ila anaimba hv " sema unachotaka babe nitakupa babeeeey babeeey"Ni ule anaojibishana na dataz?
HUO WIMBO UPO YOU TUBEHIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.