Me nautaka ule nikueleweje1)Nahitaji nyimbo za unique sisters nyimbo zao za mwanzo mwanzo
2) Wimbo wa malisa ft luteni kalama bam bam video na audio please
mwanafa ft kwanza unit_haturap nnao huo ila kuuweka hapa ndio mtihani kama vipi weka namba nikupostie kwa whatsapMwenye wimbo wa kwana unit hatu rap please
nilishausikia huyo jamaa anaitwa Munisi kama sikoseiVipi mkuu wewe ulishawahi kuusikia huu wimbo?
wakuu hapa nimepata hiyo namba 5 tuumsaada wakuu
1aipam soldier ft gnako v_ vumilia
2: king gk ft Jeff jafary _ shika mic
3: dani msimamo ft mkoloni _ aku
4: paipam soldier _ nipe gwara nipe tano
5: Q chief ft fanani _ mwana mnyonge
Soggy doggy - i love you
Mwenye huu wimbo tafadhari
Nyimbo nazozisaka bila mafanikio
Tulia nami-Akili tribe
Week end-G Solo ft k bazil
Album nzima ya nje ya bongo ya Mr 2
Kipi kikusikitishacho-CBM CREW
Afande anasema-Afande Sele