Mi nautafuta
1. Hohehahe wameimba Swahili by Nature.
2. Tumbo deni la dunia wameimba Uswahilini Matola.
3. Kitambo kidogo wameimba Big Doggy Pose.
4. Ana ana doo aliimba Soggy Doggy kwa kigugumizi.
5. Usingizi aliimba Soggy Doggy.
6. Mtoto Pili aliimba Dogo Hamidu.
Hizo nimezitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani.
No 1 na 3 ni Salute! Kuna na ile Utawamaliza Wote ya BDP ukizipata kabla yangu ni Tag plz!
 
Kuna wimbo mmoja jina sikumbuki ila kaimba banza stone na sijajua aliimbia bendi gani vile kuna baadhi ya maneno yanabwa hivi" hata ukoo sina sina ubini wala kabila sins ndugu wa damu sijui mzaramu hata mlugulu sijui mmakonde wala msukuma" nifanyieni mpango tafadhali
 
Always hauniangushi ninja langu!!
Una ngoma yako moja Kwangu tutasomana zaidi ktk hilo!

Sema nini man, kama zitapatikana Nyimbo Au
Album ya jamaa wa kuitwa -
The Kila Kitu
walikua wanafanya cover za mbele kiswahili kama vile Careless whisper na za kina chaka demus

Swahili By Nature
Walikua na wimbo Oehae wkimshirikisha Mack2B

Pia
Kafa by Trigger Mc

T Block Solgerz
sikumbuki jina la wimbo mbali na ule wa Msamiati ft Nemo huo ninao

Hard Mad - Kama Unanipenda (Raggatone)

Black Wa Uswazi - Sema Ooh

J Pop Ft Rama Dee - Utaweza

Bantu Mcz - Tangazo

BJB - Ndivyo Ilivyo

Mkenya ft Linex - Top Up
Zikiwekwa nitag asee hasa Tangazo, ongeza na "Tunakupenda ya Jaypop Prospa"
 
"Ahadi yangu mm na wewe,
Ilikuwa tuishi pamoja,
Kwa kuwa umebadilika,
Mimi na wewe baasi!"

AFANDE SELE
 
Mi nautafuta
1. Hohehahe wameimba Swahili by Nature.
2. Tumbo deni la dunia wameimba Uswahilini Matola.
3. Kitambo kidogo wameimba Big Doggy Pose.
4. Ana ana doo aliimba Soggy Doggy kwa kigugumizi.
5. Usingizi aliimba Soggy Doggy.
6. Mtoto Pili aliimba Dogo Hamidu.
Hizo nimezitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani.
Naungana na wewe nongeza list kuna
1. Starehe gharama ya L.W.P
2.Mshenga ya banza ft mando&domo kaya
3.mkao wa kula T.m.k manyigu


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom