Mkuu kioo salute mingi mingi kwako ila bado sijapata nyimbo hizi; kwenye tv na umaarufu za g_solo na miss bongo wa jaji hakim niliomba umu mwenye nazo aniwekee tafadhali
 
Natafuta wimbo ulioimbwa na bob Ludala,(asante kwa kunizalia mtoto)
Pia wimbo wa tarsis masela ft dada mmoja sijui kurjan jina kama sijakosea
 
Kuna ngoma ya Stereo jamaa anasema.. ' Wanaopenda lift hawaisimamishi hii defender, km mkwawa naresist no sestrete no surrender..'

Maadui awaponi mbele ya komando kipensi..
Nawaza paka mtoni ubongo wangu hauna fens..
Whats the defferent, kat yawakali n nice..

Naombeni sanaaaa hii ktu
 
Mi nautafuta
1. Hohehahe wameimba Swahili by Nature.
2. Tumbo deni la dunia wameimba Uswahilini Matola.
3. Kitambo kidogo wameimba Big Doggy Pose.
4. Ana ana doo aliimba Soggy Doggy kwa kigugumizi.
5. Usingizi aliimba Soggy Doggy.
6. Mtoto Pili aliimba Dogo Hamidu.
Hizo nimezitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani.
 
Naam Wadau! Kuna wimbo mmoja ameimba Marehemu Mzee Muhidini Gurumo akiwa na wenzake sijui ni bendi ipi kati ya alizopitia. Humo ndani analalamika kuwa ndugu wanamtaka aachane na mpenzi wake . wanadai hamfai. Naomba anayeujua wimbo huo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom