Natafuta Mgumba sasa amezaa kama unao nitag
Screenshot_20190813-160150.png
 
Mwenye wimbo Najitoa mhanga wa Luteni kalama naomba tafadhari pia pilato na game pamoja na heshima zote za bwana misosi pia napokea simu ya ngwes
 

Attachments

  • Bwana_Misosi_feat_Juma_Nature__Fid_Q_Pilato_Na_Game.mp3
    7.1 MB · Views: 115
  • Ngwair_feat_Dully_Sykes_Napokea_Simu.mp3
    3.5 MB · Views: 111
  • Bwana_Misosi_Kipusa .MP3
    2.1 MB · Views: 87
Mkuu KIOO

Kuna nyimbo naitafuta nahisi ni ya lil wayne na Mavado(sina akika lkn ni sauti kama ya mavado kwenye korus)

Haina muda mrefu sana nahisi. Kila nikiisearch siipati nisaidie mkuu
 
Always hauniangushi ninja langu!!
Una ngoma yako moja Kwangu tutasomana zaidi ktk hilo!

Sema nini man, kama zitapatikana Nyimbo Au
Album ya jamaa wa kuitwa -
The Kila Kitu
walikua wanafanya cover za mbele kiswahili kama vile Careless whisper na za kina chaka demus

Swahili By Nature
Walikua na wimbo Oehae wkimshirikisha Mack2B

Pia
Kafa by Trigger Mc

T Block Solgerz
sikumbuki jina la wimbo mbali na ule wa Msamiati ft Nemo huo ninao

Hard Mad - Kama Unanipenda (Raggatone)

Black Wa Uswazi - Sema Ooh

J Pop Ft Rama Dee - Utaweza

Bantu Mcz - Tangazo

BJB - Ndivyo Ilivyo

Mkenya ft Linex - Top Up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom